@AbdulAlly253493@Psiteshio1 nyie ndo mnkujaga na hivi vipoint vya kirohombaya wakati hamvitumii huku mkilala kwa waganga halafu mnataka wenzenu waamini huu ujinga nyie muuze zaid
@zittokabwe And what consequences havent been disastrous curently!!? so you just sit down there posing intimidations of death while you are also a walking dead under this regime man
@Chiggscom@Kiganyi_ kwani dogo nn maana ya maandamano kudai haki? moaja watu waandamane nn kimetokea, kwann watu wakatazwe kuandamana mpaka waamue kufanya fujo wakati kuandamana ni haki yao
@_zack255 Hata kama wangechoma ikulu tungejenga ingine lkn Samia hataweza kurudisha watanzania alowaua mjomba hizo takataka hapo hazina thamani ya mtu mmoja na maana mtu mmoja alisababisha zikawepo pia
@Royal_Tv_Tz Kwenye vita tu penyewe huruhusiwi kutumia kila aina ya silaha halafu CCM wameua watanzania kwa silaha nzito za kivita ilihali watu waliandamana bila salaha
@MamaIddy@godbless_lema@SuluhuSamia We ni kichaa Kwani maandama ni kosa? mtu akiandamana kudai haki na kutoa ujumbe ni kosa au unaropoka tu.Kwann umnyime mtu kuandamana
@NoblyHD@MansaMuusa1@godbless_lema Ww hujui dini inachofundisha na wala hujui chochote kuhusu haki za raia, kuandamana kupinga mamlaka dhalimu ni haki kikatiba na polisi waliwanyima watu ndo maana wakaleta fujo kulinda haki zao.Polisi huwa wanawapiga waandamanaji na ndo chanzo cha fujo,unaleta DINI badal ya KATIBA