Siku moja huko mbeleni tutajilaumu sana sana sana kwanini hatukuungana wote kwa pamoja kukiondoa kikundi hiki cha watu wachache sana!!
Yes you heard me right, ni kikundi cha watu wachache sana ndicho kinacho-run hii nchi na kufanya maamuzi yote haya na ukatili wote na ufisadi wote huu!!
Yes wanawashirikisha na raia wenzetu walioko kwenye nafasi fulani kutekeleza agenda zao….but wanaoRun nchi ni kikundi fulani tu cha watu wasiozidi hata 20!!
Tutajilaumu sana siku hiyo kwamba kwanini watu milioni sabini tumeweza kurubuniwa na kulaghaiwa,kudanganywa kuteswa, kuibiwa for years na kikundi tu cha watu less than 20!!
Tutaanza kusema tunge…tunge…tunge!!
Tungejua tungefanya hivi, tungejua tungefanya vile!!
Na hata tutakapowin kuwaondoa siku hizo, wanaweza wakawa wanatucheka na kutukebehi kuwa wametutesa for years 20…30…40, wametutumia walivyotaka, wametuua wametuibia, wamekula goodtime kuanzia ujana wao, huku sisi tukiishi kwa dhiki kubwa kuanzia utoto wetu!!
So wameshazeeka sasa hata kama tumewawin its obvious mwisho wao pia wa kuishi umeshafika!!
Tutajilaumu sana tulikubali vipi kikundi kidogo kituzidi nguvu na uwezo kwa miaka yote hiyo!!
Moral of the story…..THE TIME IS NOW!!
Tulishasema HAKUTAKUWA NA MARIDHIANO nani anawaza kuhusu maridhiano?
Tunaenda Kuridhiana nini? Ole wake mtu atusaliti kwenye huu msimamo hataamini tutakavyoruka nae kama GEN Z.
TUTAKUWEPO🫵😎
Baada ya TAKRIBAN Miaka 50, mchina anachukua reli yake....
What else African can do better kwenye mambo yake.
Africa's First Freedom Railway imeshindikaja kuiendesha?
Why and HOW?
2025 ni mwaka ambao NIMEPATA MAADUI WENGI sana. Hawa ni wale wanufaika wa UTEKAJI, UFISADI & UKATILI unaoendelea nchini.
2025 ni mwaka ambao NIMEPATA MARAFIKI NA VIPENZI WENGI sana. Hawa ni wale WAPENDA HAKI na wapinga UDIKTETA unaoendelea nchini.
Katika makundi hayo MAWILI namshukuru MUNGU nimependwa na KUNDI KUBWA ambalo ni kundi la HAKI. “Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU” hivyo nilikuwa nafanya kazi ya MUNGU.
Asante 2025.🙏🏿
Nicodemus Julius Loyore, is wrongfully held fast by the notorious Dar Central Police establishment, if you call it so, cut off from word, comfort, and kin.
With heavy hearts and steadfast resolve, we demand his full and unconditional release.
Set Nic free this very hour!
Ukurasa rasmi wa Makamama ya Tanzania, @judiciarytz katika mtandao wa YouTube unaoutumia jina la ‘Mahakama ya Tanzania’ umeondoa mfululizo wa video (live streaming) zote ambazo zinahusu kesi ya uhaini wakati wote wa ‘committal proceedings’ na kesi ya uchochezi zinazomkabili @TunduALissu zilizokuwa zinasikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu kabla ya kuhamia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Mnafuta darasa huru la sheria kwa ajili ya kesho ya sheria zetu, mnaacha matamasha ya hafla za Mahakama? Nani anataka kuangalia hafla za Mahakama? Hatushangai sana. Nchi yetu inahitaji kurejeshwa katika utimamu wake wa awali. Mifumo karibu yote inahitaji marekebisho ya kimantiki. Mahakama za Tanzania sio mali ya mahakama ni mali ya Wananchi wa Tanzania’. Jamhuri (sisi) ndiyo tumemshtaki Tundu A.M Lissu lakini Mahakama inaondoa video za kesi ya TAL ili Jamhuri (sisi) tusione. Hiki ni kituko. Anyways, #TunduLissuSioMhaini #FreeTunduLissu