🇹🇿 🛠️ Kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2025, Safal Alaf Foundation iliendesha mafunzo ya usanifu wa paa kwa vijana zaidi ya 100 jijini Arusha. Washiriki walipata mafunzo ya vitendo kuhusu usalama kazini, matumizi sahihi ya vifaa vya kuezekea, na ujasiriamali, wakijiandaa kuanzisha biashara zao au kujiunga na soko la ajira katika sekta ya ujenzi.
🎓 Kila mshiriki alipokea cheti cha ushiriki, na dira mpya ya maisha yenye kujitegemea!
#Alaf #SafalAlafFoundation #UwezeshajiVijana #BingwaWaKupauwa #Tanzania
Usually I don't do this ... but the nation called and I'd do anything for 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Salaam zimfikie Bwana Brian kokote alipo, mwambie kweli hatujui kingereza.
Dear Brian (Khaligraph Jones Diss) OUT NOW!
https://t.co/RT9wDq65DA
Je, bado unajiuliza jengo la SAFBUILD linafananaje haswa? Tazama pichani moja ya mradi uliokamilishwa kwa kutumia teknolojia ya SAFBUILD. Ni mradi wa ALKO Vintage mkoani #Dodoma. Kwa swali lolote kuhusu #SAFBUILD usisite kututumia ujumbe! #JengaBilaPresha#Alaf#UkiwekaUmeweka
Ni Ijumaa ya mwisho wa mwaka, je umefanikiwa kukamilisha malengo yako ya 2022? Kama bado, kwa 2023 ongezea “Ezeka na LIFESTILE” kwenye orodha ya malengo yako.
#Alaf#AlafLimited#UkiwekaUmeweka#Lifestile
🎉 Ni furaha, nderemo na vifijo 🎆 Heri ya mwaka mpya 2023. Familia ya Alaf inakutakia wewe na familia yako mwaka wenye mafanikio na afya tele!
#Alaf#HappyNewYear2023#HeriYaMwakaMpya
Jumatatu ya kwanza ya Disemba, sisi tunasema na Ujenzi uendelee! PUNGUZO LA BEI bado linaendelea mpaka mwisho wa mwezi. Pata punguzo la hadi 17% ununuapo bidhaa zilizoainishwa hapo juu kupitia tovuti yetu ya https://t.co/8z1qUsbcF3
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
#alaf