@MalagasyMamaLee @Blacksregion His style of leadership was new to most his people. The thing is Tanzania is made of lazy people, people who love gossip and will turn anything into anything stupid. Even when Jesus walked on water if it happened in Tanzania, they would mocked him or made fun of him
@BarakaSaimon3 @Eric_Bernard94 Miundombinu itakamilika na hakutakua na watumiaji. Watumiaji wanahitaji mambo lesser, serikali haitoi chochote ni issue ya paper work tu na sheria ziwekwe basi. Serikali inakua kama biashara ya kihindi ๐๐. Support watu wako wakupe kodi
@KPizoo @BarakaSaimon3 @Eric_Bernard94 Issue ya content ni jukumu la serikali kutoa seminar kwa content creator, gharama za usajili na tatizo la maadili kwenye content ni mambo mawili tofauti.
@p_tanzania Wewe upo CCM unajua vipi kama CDM wanazoa mawakala? Au mlitaka mtengeneze barua zenu za mawakala wenu wa CCM afu wakawe kama wametoka CDM ๐. Hovyo kabisa.
@p_tanzania Sisi tunajua mbinu zote za CCM, jambo baya nikwamba ukiwa madarakani unasahau ni kwa kiwango gani dunia imebadirika. Endeleeni kitengeneza jamii ya watu wasio na cha kupoteza. Kwasababu sasa hivi ni mnufaika, subiri. In a mean time kumbuka wanuafaika wa regime zinngine wapo wapi?