"Anayetaka niondoke kisa kupoteza mechi moja nataman aniambie ni kocha gani hapa dunian hajwahi kupoteza hata mechi moja? Sisi malengo yetu yapo pale pale kubeba taji la CAFCL na NBC na bado sijaona kikwazo cha kutuzuia"
Manqoba mngqith
kocha mkuu wa YANGA
@makumbawaleo_5n Haya, waulize Kwa email Wenda wakakupa sababu.
Lakini vigezo vina elezeka na kueleweka pale.🤣🤣
Kwamba kinachohitajika ni cheti cha 4m4 na vya udereva.
Sasa ujaelewa wapi?
Ile idea ya mtu ukimaliza degree uende VETA/DRIVING ni SCAM mazee kule ajira portal hizo kazi zinawataka form four.
Ukiomba na degree yako despite kua na vyeti vya driving mfumo unakuambia uko over qualified, wenye mamlaka sijui kama wanalijua hilo.
💔
kama watu wanaouwawa na ajali za barabarani wangeuwawa kwa 7bu nyingine yoyote ile kama taifa tungechukua hatua za haraka sana. na mimi naamini kushindwa huku kuchukua hatua inatokana na nani wanamiliki haya mabasi na malori, na wana ushawishi gani kwa watunga sera na sheria!
Makambako hapa jamaa tajiri sana, biashara za kutosha, bar, gesti na hardware kibao hapa town ila masharti ya mganga hatakiwi kulala usiku,
Mwamba inabidi ikifika saa 4 usiku ana drive hadi Iringa mjini anachoma nyama🐐 na bia na washikaji wanakesha pakikucha anarudi kulala.🙌🏾
@lifeof_nono Ndio maana kukawa na room ya Ku- Block watu ambao wana harass wenzao.
Usiwe unatukana, internet never forget.
#Just report & Block , Move on.
Biashara Zenye Ushindani Wa Pesa Na Sio Competitor Zina Pesa Sana Hasa Vituo Vya Mafuta, Nimeshuhudia Rafiki Wa Mzee Alianza Na Kituo Kimoja Mpaka Sasa Ana Vituo 10 Na Kanunua Magari Ya Usafirishaji Yana Kwenda Mikoani. Fursa Zipo Lakini Pesa Ya Kuwekeza.