@godbless_lema Mimi naona afadhari limeenda kenya maana wanafaika ni wachache ni hao na watoto zao na ndugu zao mwishowe wanakuja kututambia kwa kununua magari makali vitu vya thamani kubwa still sisi tupo palepale tunaangalia tu
@PMadeleka Binafsi uhalali wa tume ndio unafanya watu wawe na wasiwasi Kwa sababu aliyeunda hiyo tume ni Moja ya suspected namba Moja unajua wkt mwingine hata shetwani anashangaa mambo yanavyoenda
@Baradhuli2 Ww unayetumika kuwa chafua watumishi wa Mungu kwa njaa zako za kushindwa kufanya kazi halali umebaki mtandaoni kushambulia watu Kwa uchawa wako
@Sisimizi3 Ww kweli makalio uliyetumwa propaganda.....anachoongea nape hiyo inaitwa lugha Moja ww makalio msifiaji ulielipwa endelea kusifia Kila kitu hayo makalio yako yapo hatarini
@Sisimizi3 Ndio maana watu wanaogopa kusapoti wapinzani ila Kwa ufupi sana wanasapoti watawala Kwa unafiki tu na uchawa ila roho zao hazipo pamoja na watawala
@Sisimizi3 Kwa nchi yetu ya Malawi ukimsapoti Lisu utafatwa kama una shughuli zako utafirisiwa au itafanyika namna mpk utafunga na inawezekana ukapewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha au uhaini kbs