"Wakati huweza kumgeuza rafiki yako kuwa adui na adui yako kuwa rafiki. Hivyo, ishi na rafiki yako kama adui yako mtarajiwa na ishi na adui yako kama rafiki yako mtarajiwa. Kuwa na kiasi." ~Togolani Mavura.
🦅KABLA HUJANUNUA SIMU INGIZA HIZI CODE ITAKUSAIDIA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI
📚📚📚
Hizi zinaitwa 🛠Testing codes hua zinasaidia kutambua kama sehemu moja wapo kwenye simu ni haifanyi vizuri ama ni mbovu,kwa fundi simu ni vizuri pia ukizijua zinasaidia kukupa mwanga wa tatizo
Kosa linalokunyenyekeza lina faida zaidi kuliko mafanikio yanayokupa kiburi.
Makosa yanayotufungua macho tuone udhaifu wetu yanatusaidia kuwa watu bora zaidi kuliko mafanikio yanayotuaminisha kuwa sisi si tu ni watu tusiokosea lakini pia hatupaswi kufanya makosa.
#VijanaWenzangu Tutumiane vizuri. Haipendezi kazi zote ufanye wewe peke yako (Hata kama uchumi mgumu). Delegate them, yaani shirikisha vijana wenzako wenye sifa na uwezo.
Kuna Nguvu kubwa sana katika KUTOA kuliko KUPOKEA.
Hata jambo liwe zuri, au jema kiasi gani, kufanikiwa kwake kunategemea sana na usahihi wa wakati wa kuliwasilisha, namna linavyowasilishwa na mtu anayeliwasilisha.
Tujifunze kuvumilia watu na machaguo yao ya maisha hata kama hayaleti maana akilini na machoni mwetu. Mengi ya machaguo yetu katika maisha ya leo ni fidia ya yale tuliyoyapania kuyafanya, au kuyamiliki huko nyuma ambayo hatukuweza kuyafanikisha kwa kuwa hatukuwa na uwezo nayo.
Umbea na majungu huzaliwa watu wanapokuwa na muda mwingi wa kuongea kuliko sababu iliyowakutanisha. Kuwa mwepesi kuaga unapomaliza yaliyokukutanisha ama yaliyokupeleka. Utaepushwa na mengi.
Wanaotuzunguka wanaishi na mapungufu yetu kwa kutuvumilia. Hakikisha unautambua mstari wa uvumilivu na kuepuka kuukanyaga au kuuvuka. Usiwafikishe wanaokuvumilia mahala wakakuchoka. Kumbuka meza ya uvumilivu imeegamia ka-jiwe. Epuka kutikisa meza ya uvumilivu. Itakuangukia!
Ukipewa kikubwa shukuru sana. Ukipewa kidogo shukuru zaidi. Hicho ukionacho kidogo, chaweza kuwa ndio kikubwa kutoka kwa mtoaji. Hicho kidogo chaweza pia kuwa kipimo cha kuujaribu moyo wako wa shukrani na uungwana wako.
UZI: INSOMNIA - Tatizo la kukosa usingizi (sleep disorder) au kulala kwa mang'amung'amu. Ni tatizo linalowakumba wengi. Karibu tujifunze.👇
@BongeLaAfya#BongeLaAfya
Leo weekend uko wapi uletewe dagaa @DagaaOg unapanga na bei. Yani utasema nataka za shilingi fulani mfano za 5000 utapimiwa na kuletewa mpaka ulipo kwa Dar es Salaam piga 0759855572 sasa.
TRICYDAGAA TUNAKUPA KILICHO BORA💕
S/O to everyone who's hustling hard; making their life worth living, supporting their siblings, families; surviving in this era. You're strong. May God make it easy for you.
Jalala halina thamani machoni mwa yule mwenye takataka za kutupa, lakini lina thamani kwa yule mwenye rizki ya kuokota kutoka jalalani. Ndivyo ilivyo kwetu pia. Sisi sote ni jalala kwa watu wengine. Wengine wanakuja kutupa, wengine wanakuja kuhemea. Ukiishi wewe ni jalala tu!