Huyu dada wa Kyela FM anatakiwa aje mjini, head hunters wa radio kubwa fanyeni namna.
Alinipigia verse moja ya Chid Benz na ile ya Dizasta ilikuwa noma kabisa.
🚨 A Japanese journalist asked Brazilian forward Rayan a respectful question, after which Rayan started laughing.
🇯🇵🗣️ A simple question, who do you think is the most dangerous Japanese player and what is Japan's strong point and weak point? Thank you."
🇧🇷🗣️ Rayan: "Oh boy... [*laughs*]. I don't know. I also don't know the most dangerous player without watching a video. But I know Japan are a qualified team and that they are very strong."
Sababu Zilizofanya Kampuni Iliyosajiliwa Falme za Kiarabu na Rostam Aziz Kuweza Kununua Kampuni ya Gesi Tanzania Kwa Shilingi 26,000 (Tsh. 26,000)
Mnamo Aprili 13, 2026, kampuni ya Orca Energy iliyoendesha vitalu vya gesi vya Songosongo kwa takribani miaka 25 ilitangaza kuwa imefikia uamuzi wa kuuza biashara yake ya gesi Tanzania kwa takribani dola kumi, ambayo ni sawa na Shilingi 26,000 za kitanzania.
Kampuni hiyo ilitangaza kuwa wanunuzi ni ushirika wa wawili yaani kwanza kampuni ya Amber Energy Investment kutoka Falme za Kiarabu, ambayo ndio itakuwa mmiliki mkubwa kwa asilimia 51 ya hisa; mmiliki hasa wa kampuni hii hajawekwa wazi.
Mshirika wa pili ni Taifa Gas, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz, ambaye atachukua asilimia 49 ya hisa. Kampuni hii kupitia kampuni zake za Pan African Energy Corporation (Mauritius) na PanAfrican Energy Tanzania (PAET) ndio mzalishaji mkubwa wa gesi inayotumika kwenye viwanda na umeme Tanzania.
Kati ya mwaka 2021 mpaka mwaka 2025 pekee kampuni hii inayoendesha visima kadhaa vya gesi katika eneo la Songosongo iliweza kupata mapato ya takribani dola milioni 513 ambazo ni sawa na Trilioni 1.3 za Kitanzania.
Sasa imekuwaje ‘mmiliki asiyefahamika’ na Rostam Aziz kuweza kununua kampuni hii kwa shilingi 26,000 pekee?
Soma zaidi>>>https://t.co/qtMTDX2hwl
Wana Ndoa kuna kauli ukiambiwa na wife “Na mazungumzo na wewe” Alooo maFile yanapangana balaa unawaza cheche gani tena
Nyumbani kwako lakini unaweza usirudi 😂😂
Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐️
In August, Crystal Palace were in the midst of a 10 game spell which included Arsenal away, Liverpool away, Chelsea away, Spurs away, FA Cup semifinal vs. Villa, FA Cup final vs Man City, Community Shield vs Liverpool. They were unbeaten in all of those games and won two trophies. One month later, they're playing European football, beat Liverpool at Anfield and are 2nd in the league.
Oliver Glasner, ladies and gentlemen 🤝
Mwaka huu niliamua kufanya hija binafsi kwenye makanisa makubwa na ya zamani, nilipita Kwiro Makao makuu ya jimbo la Mahenge,na mengi mpaka nikatokea Peramiho Songea.
Lakink kuna mtu akanambia ziwa Nyasa mpakani Songea na Njombe kuna kijiji kinaitwa Lituhi ,Manda huko, akasema kuna kanisa kubwa mno la zamani,mpaka leo waumini hawajafanikiwa kulijaza,
Basi nikapata hamu ya kwenda huko, baada ya kufika kwa mbali nikaliona hilo kanisa mlimani kabisa nikashangaa sana,
Baada ya kufika pale nikakutana na fr mzawa wa hapo anaitwa fr Shindindi, akanipa historia ya ukristo hapo, kwamba lile kanisa lilijengwa Mwaka 1939 baada ya jengo la zamani lililojengwa 1911 kusogelewa na maji ya ziwa, wakahamishia mlimani.
Cha kushangaza kuna hospital kubwa kabisa, Huwezi amini hili kanisa kuna mabenchi nusu tu ya kanisa na halijai.
Ameandika Fortue Mecky.
Kuna post nilisema shina 1 la maharage linaweza kutoa watoto 50-60. Leo mkulima kutoka Kigoma amekuja kujifunza kwa vitendo kwenye project yetu mpya tumehesabu sehemu kubwa ya shamba shina moja lina watoto 90+
Huu ni ushahidi kuwa kilimo bora si nadharia ni matokeo yanayoonekana.