Ni muhimu kwa mwanaume kujua background ya mwanamke kabla ya kuoa na sio future yake,na ni muhimu kwa mwanamke kujua future ya mwanaume kuliko background yake.Kuna mzee alikuwa anatuambia kwenye daladala ameshukia 4Ways hapa.
Marafiki zetu wa mikoani wakija Dodoma wanapenda sana meeting,yaani kila weekend wanataka tumeet. Town pagumu wazee watu wako busy kutafuta maisha Dodoma sio Njombe😀.
Kuna mashabiki wameumia sana Yanga kuhamia KMC complex,Simba wanatakiwa watupokee tu sisi ndo ndugu zao sio wale Azam wapenda sifa wakati wanazidiwa ukubwa na Mtibwa😀
Tunapambana sana kuitafuta kesho yetu. Wapo wanaoamini katika harakat za mtaa.wapo wanaoamini ktk kuzunguka na bahasha kusambaza cv. Wapo wanaotutia moyo wapo wanaotukatisha tamaa.
Wanangu haturudishi mpira kwa kipa tuzidi kupambana tukiweka imani kwa Mola wetu.
@mkerya88