(4/4)
Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema, “Maisha ni hadithi”, tuandike hadithi njema za maisha yetu. Julai 25, 2016 Hayati Rais Magufuli aliukumbusha Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu uamuzi wa kuhamia Dodoma, na chini ya Awamu yake ujenzi huu ambao tumeukamilisha ulianza rasmi. Hayati Rais Magufuli ameandika hadithi yake.
@SuluhuSamia I am so proud of you my President unavyopambana kukamilisha miradi uliyoianza na aliyekupendekeza uwe msaidizi wake the late JPM. Kura yangu 2025 unayo inshallah..
@zittokabwe Kaa kimya kaka hujawahi kuyabeba maisha ya watanzania na hata hiyo demokrasia huijui sawa na mimi hapa. Tunajua siasa kwako ni maslahi binafsi. Wengine tunataka maisha yaende na wakati wa JPM yalienda kweli kweli, kwa hilo hatutamsahau hata umbeze vipi.
@SuluhuSamia Na kweli mama unapambana kweli kuyaendeleza mazuri aliyokuachia. Mungu akusimamie uyakamilishe. 2025 panapo uhai lazima nikupe kura yangu.
@MBU@JChameleone These brothers LEFT THE GROUP and came out long time ago. The saddest thing on top of joining the alphabet community all is incest. I have not forgiven you don't cheat yourself.