@Shishira_Mnzava @Mis_418 @ze_mandevu Point three za kibabe sana siwezi sahau ila mizuka yenu ndio ilikuwa inanipa nguvu asee.nawakumbuka homiesππ»ππ»ππ»
@Shishira_Mnzava@brazakashande @Mis_418 @ze_mandevu Sisi darasa letu tulikuwa boys tu wabish sana.tulikuwa tunawachora na mademu zenu wakina Yusta mnashare na wakina morinyo.waliokuwepo wananielewa vizuriππ»ππ»ππ»
@jjmnyika@ChademaTz Mungu akujalie miaka mingi hakika ni Mungu alikuongoza ulikabia juu sana kusimamia hakiππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»