@millardayo Kiwanja ununue ulipie bwawa ujenge mwenyewe ulipe Dawasco uligharamie mwenyewe then Siri kali ya Kaisali anakuja kukinga mkono kuchukua pesa
@PMadeleka Ukisimama kwenye ikweli hakuna mtu yoyote pamoja na huyo shekhe mwenyewe alie sema wakatoriki wakatwe vichwa hakuna mtu huyo kama yupo mtuonyeshe
@PMadeleka Hapo neno wakristo litatokea wapi na mchungaji alie sema wakristo wasiogope kukatwa vichwa wapi shekhe ametaja wakatwe vichwa wakristo sikilizeni vizuri ili mumuhukumu mtu kwa haki alicho kifanya kweli ni kosa kutaka watu wauwane lakini nyooshene alicho sema
@PMadeleka Shida hapo ipo kwa Madeleka na wasikilizaje wengine ambao hamja mwelewe shekhe siungi mkono kuuwa watu lakini hapa hamja mwelewa shekhe alicho sema ni kuwakata vichwa waandamanaji haja taja wakristo kukatwa vichwa kama waandamaji ni wakristo na sio wa Tz
@PMadeleka Mheshimiwa Mbuge Peter Madeleka vip hatukuon kwenye uapisho vip π€ͺπ€ͺ piga kura ili ulinde Kula na ushebe Amekushinda baba yale na levo π€ͺπ€ͺ
@Jambotv_ Hawa ni wananchi wamelipuka kwa hasira na ndio maana hakuna mpangilio wa maandano sababu hakuna alie yaongoza ni wananchi wameamua kwa utashi wao na ndio sababu mnashangaa imekuwaje kuwezekana Tz ni sabab mliamin atakae yaongoza nani
@Jambotv_ huu ndo ujinga wa elimu kwamba unasoma lakini bado akili za kuelewa mazingira unakuwa huna na ndio maana wasomi wengi hawana hela yaan utaombaje kibali kwa police wasio taka kutoa hivyo vibali nani ataongoza maandamano na kuleta ajenda ili aliuliwe
@Jambotv_ Mwamba sigida kubwa ukimtafuta saa 11 utasikia naenda kuswali saa 7 utamsikia naenda kuswali saa 10 naenda kuswali saa 1 naenda kuswali saa 2 naenda kuswali ukimgusa utasikia tumwogope ALLAH π aise binadamu tunafanya mchezo na MUNGU
@MariaSTsehai@SuluhuSamia hakuna hii hadithi tunzeni hii coment huyu alie tabiri alikuwa ndotoni Mungu aliruhusu Magu aondoke haita kuja kutokea tena kwa kipingi mpaka miaka 40 au 50 mbele Samia atakuwepo mpaka 2030 ikiwa mabadiriko tunayo yataka wananch hayata fanyika
@swahilitimes Yaan tujadili halafu tuwekwe ndan aaa wap tumestuka nynyi endeleen na nchi sisi tunazipenda familia zetu CAG anawaambia kila siku nini cha kufanya hamfanyi Gwajima kaleta ushaur mmefunga makanisa π sasa unatuvuta ili tujae kwenye 18 hutupat ng'oo