Wakati Gucci Mane Anaenda Jela alikuwa na Dollar milllion 2, Akampa zote Girlfriend wake aitwaye Keyshia.
Keyshia akazitumia hizo dollar milllion 2 kibiashara na zikaongezeka hadi zikakua na kufikia Dollar milllion 6..
Wakati Gucci Mane anatoka Jela Keyshia akampa Gucci Mane hela zote dollar milllion 6 na kwa sasa wameanzisha familia pamoja na uhusiano wao unaimarika.
Vipi Gucci angeamua kuamini zile kauli za usimuamini mwanamke duniani?
Vipi Keyshia angesahau jasho na sacrifice za mwanaume wake kwasababu ya matatizo?
Vipi wote kwa pamoja wangeamua kuamini kauli ya hakuna mapenzi ya mbali duniani?
Somo.. USISIMULIWE MAPENZI NA WASIOJUA KUPENDANA..
Mapenzi ya kweli yapo kwa waliochagua, kuaminiana..β€οΈ
Cc @AziziKasese β
..Pia kama bado sija ku ADD kwenye group la "ELIMIKA WHATSAPP" basi nitumie meseji apa, tujumuike wote...π
https://t.co/4qv5w2oXtp
Basi nita ku ADD ni free tunashare mambo ya muhimu tu kujifunzaπ
@nyuki_malkia πDar es Salaam
Huduma zetu ni kama ifuatavyo
π Tunachora Ramani za Nyumba za kisasa
π Tunajenga na kusimamia ujenzi wa jengo Lako
βοΈ 0718281703 Call/WhatsApp
π Oficin zetu zipo Mbezi Beach karibu na Sea breeze hall
Tunaomba #RT yako iwafikie wajenzi wote
2 Bedrooms