@KenyanSays Trela ata ikabeba bags 300 na mko watu kumi.... Ukishukusha 30 imagine uko na 60...ukikula chapo katakata mbili hio inamaanisha ni 60-40= 20 bob balance.... Kejani ni kuingia ka umelala ndio hio mbao ukule chapo nusu chai morning ukirudi wera...
Watu watumie akili desperacy kills