@Sativa255 Tangia lini police akaacha kutoa tarifa wakati alikula kiapo ? Msikute alikuwa ndiye anachoma watu . Usije muamini mtu aliye wahi kuwa police. Naapo inawezekana Bado anakuraga mshahara .
@godbless_lema Katika watu ambaho hawana oja ni makala. Sijui ccm wanajuwaga watu wote niwajinga waho ndio wanajuwa kuliko . Ukimsikiliza unacheka maana unaona kabisa ni empty kabisa. Mpaka unaona kabisa kaumia kuona bon kaongea mambo ya msajili
@CloudsMediaLive Uyo ni mpumbavu na nyie watangazaji mnamsikiliza kabisa wakati mnaona usowake unaongea ujinga kabisa. Sasa anaongelea ccm wasila inamuusu nini chadema . Mbona wenyewe walivunja katibayao kwa kumchagua mwenyekiti bila kuruusu Wana ccm wengine kuchukua fomu. Singemuuliza wasila pia
@JonMrema Mimi naona ungetulia ukakaa kimya maana sioni unacho rumbana na watu wakati umeisha hamia chama kingine. Tulia upegwe kitu kizito. Maisha yanabadilika mzee mlifikiri watu niwajinga? Chama now ndio kinasimama kuliko Jana . Mtakuja kukumbuka na uchu wenu wa madalaka