Wengi waliotaka kueleweka kwakila mtu walishafariki kama unataka ufanikiwe katika mambo yako yote kataa kueleweka na kila mtu wengine acha wakuone umepotea njia ,wengine waache wakuone mlevi au malaya, siku ukifanikiwa ambao hawakuelewi leo watakuja kukupongeza🙌
Unaona umri umeenda sana hujaingia kwenye ndoa ,uko kwenye ndoa hupati watoto, ndoa na Ndoa haina Amani, umemaliza chuo hupati kazi,una madeni mengi hujui lini utatoka.Kwa Mungu hakuna mlima mrefu,hakuna bonde lefu,hakuna usiku mrefu,muamini yeye,mtazame yeye,mwangalie yeye✍️
Jifunze kutenga muda wa kumshukuru Mungu,Tenga sadaka ya shukrani kila mara umwambie Mungu Asante maana Kuna watu wengi sana walitamani kuwa hapo ulipo na hawajui lini watakuwa hapo😓
Unapenda cybersecurity? Kama jibu ni ndiyo kuna link hapo chini inakuhusu kupata resource zote unazotaka @abuu_msagule
-LINUX
-COMPTIA ZOTE (network, security, A)
-Hacking course Zote A-Z
- REVERSE ENGINEERING
- Na vinavyohusu security
https://t.co/qqTyMOTuAM
Resources- YouTube (FREE)
*Ethical Hacking in 15 Hours- The Cyber Mentor
*Beginner to Advanced Bug Bounty- PHD Security
*Wireshark Master Class- Chris Greer
*The 50 Most Popular Linux & Terminal Commands (Full Course of Beginners) - FreeCodeCamp
5/9
Hizi ni baadhi ya skills:-
1. Graphics Design
2. Content Creation
3. Deal Closing
4. Website design
5. Digital Marketing
6. Tease and Ads Creations
WACHA KUZUNGUKA NA BAHASHA, JITAFUTE MUDA HAUKUSUBIRI!!
Watu hawataacha kufatilia maisha yako ukikonda watahoji ukinenepa watahoji unanenepea nini ukizipata watahoji ukiishiwa watasema walijua lazima zitaisha wanandamu wako hivyo acha wahoji ila wasikutoe kwenye reli ya mafanikio yako✊
KOBE BRYANT’S 10 RULES
1. Get better every single day
2. Prove them wrong
3. Work on your weaknesses
4. Execute what you practiced
5. Learn from greatness
6. Learn from wins and losses
7. Practice mindfulness
8. Be ambitious
9. Believe in your team
10. Learn storytelling
🦅UMEFUNGA KWA BAHATI MBAYA DOCUMENT BILA KU SAVE KWENYE microsft word !
🧵🧵🧵
Mfano una type kitu kwenye Microsoft word na kwa bahati mbaya computer ikazima au ukaifunga (close) hio document kwa bahati mbaya na hujuweka autosave ,usipanic relax kwanza afu 👇
Umenunua umeme na umepata token lakini meter yako haizipokei token??
Leo Ngoja tujaribu kosolve Meter serial Number zinazoanza na 24, 37, 43.
Mara nyingi matatizo haya hutokea kwa wale wanaotumia CIU (circuit interface Unit) zimezoeleka kama Remote na hii hutokea
• Unatumia computer ya aina gani?
• Umewahi kukutana na Changamoto gani wakati wa matumizi yako ya computer?
• Kwa sasa una Changamoto gani kwenye utumiaji wa computer
Comment utajibiwa
#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe
Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT.
Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku.
Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu.
Shuka na huu UZI 🧵