Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Hivi ni vitu 4 kati ya 8,735 kuhusu Instagram algorithm:
▪️Dakika 10 za kwanza ni muhimu – Algorithm huamua kama post yako isambazwe zaidi kulingana na engagement ya mwanzo.
▪️Post zako zinawafikia watu wachache kwanza – Instagram huanza kwa kuonyesha content yako kwa asilimia ndogo ya followers wako. Ikiwa watarespond vizuri, itasambazwa kwa wengi zaidi.
▪️Hashtags hazifanyi kazi kama zamani – Algorithm sasa inategemea zaidi SEO ya caption na text kwenye picha/video kuliko hashtags.
▪️Kushare na kusave ni muhimu kuliko likes – Algorithm inapenda posts ambazo watu wanazisave na kuzishare zaidi kuliko zile zilizo na likes nyingi tu.
Ungependa kujua tips nyingine zaidi? Karibu https://t.co/swriaMod4f
Hivi ndivyo unaweza kutoka kwenye sifuri hadi kupata sale yako ya kwanza ya digital product ndani ya siku 30 tu!
Siku 1–3: Chagua topic.
Tafuta idea ya kitu unachokijua vizuri na una ujuzi nacho na ambacho watu wanakitafuta au kuuliza mara kwa mara.
Siku 4–7: Tengeneza outline.
Usianze kuandika moja kwa moja kwanza outline yako ya idea hiyo. Weka wazi kwanza ni jinsi gani mtu atanufaika baada ya kutumia product yako au huduma hiyo.
Siku 8–14: Create product.
Andika kama ni eBook, rekodi video kama ni course, au tengeneza templates. Una weza kuwekeza japo masaa 2 kwa siku tu, yanatosha kabisa kupata version yako ya kwanza.
Siku 15–17: Chagua sehemu yako ya kuuza bidhaa yako.
Andika description yako nzuri inayolenga matokeo, na sio features za hiyo bidhaa yako (Hii tunaita Landing page mteja wako atakapo soma amelezo zaidi ya product yako). Weka bei rahisi ya kuanza nayo. Kuna majukwaa kama Habari duka @HabariTech yana kusaidi kuuza bidhaa zako kirahisi hapa hapa Tanzania.
Siku 18–25: Anza kuitangaza bidhaa yako kila siku kwa angle tofauti.
Tengeneza Story, tips, na experience mtu atapata kwa kutumia bidhaa yako — usirudie kitu kilekile, tengeneza maudhui mapya kila siku. Ukiweza tumia hata matangazo kufikia watu wengi zaidi.
Siku 26–30: Fanya follow-up.
Ongea na watu waliovutiwa na content za bidhaa yako, jibu maswali yao, utapata feedback nzuri zaidi na kukusaidia kuboresha zaidi.
Ukifanya hivi, ndani ya siku 30 tu tayari una business.
Na unaweza kurudia tena na tena kwa idea mbali mbali ulizo nazo.
Kama unataka kuelewa kwa undani zaidi jinsi ya kutengeneza na kuuza digital products step-by-step, nimeweka kila kitu ndani ya ebook hii:
👉 https://t.co/Q5h6sKiUg8
Mara nyingi tukiwa tunatengeneza post au content zetu za biashara hua tunalenga aina moja tu ya mteja.. Mtu ambae yupo tayari kununua.. tunasahau wateja wengine ambao wapo kwenye ngazi zingine..
Wafahamu wateja wako wako hatua gani:
Kabla mtu hajafanya manunuzi, hupitia ngazi 5 za ufahamu:
▪️Hajui kama ana tatizo – Mpe content ya burudani au ya kuibua hisia.
▪️Anajua tatizo, hajui suluhisho – Mpe elimu juu ya tatizo lake.
▪️Anajua suluhisho, hajui brand – Mweleze kwanini suluhisho lako ni bora.
▪️Anajua brand, hajafanya uamuzi – Mpe ushahidi, ofa au review za wateja.
▪️Yuko tayari kununua – Mpe call to action, punguzo au msukumo wa haraka.
Tumia ngazi hizi kutengeneza content zako upige $.
Siwezi kusema mimi ni expert but from time to time hua nanunua vitu Alibaba… 23/24 nimetumia $13,300 kuagiza vitu.. Unaweza niuliza chochote kwenye comments..
@samsonmbembela Haina haja kaka kama kitu unafanya na kinakulipa itoshe tu kuongea anaebisha unamuacha mm nimekufuatilia kwa mda mrefu tangu Niko chuo mpaka namaliza na nimegain vitu vingi nisivyovijua na nimeapply vinafanya kazi so najua na I hope nitalipia session ijayo
@samsonmbembela Kiukweli digital marketing ni field nzuri sana so wewe bro unafanya vyema sana muhimu umeongea ila na muda utaongea watakuja kugundua competition imekuwa kubwa
@Mr_AfroDiallo@samsonmbembela@angelinoo17 Hapana hio ni mindset yako tu ila kiukweli mm nafanya issue za digital marketing na zinalipa na hata huyu sponsored ads naona anafanya vizur sana huko IG may be humfuatilii ila kiukweli ni anapambana sana
At the risk of interrupting your enemy while he’s committing a mistake, it’s funny to watch our Stalin-wannabe leaders focus on the wrong enemies.
Also alarming that they never learn.
I understand the need to save face — the need to scapegoat and spin an us-versus-them narrative.
But if they truly believe the problem is people like Mange Kimambi, a few opposition figures, and some faces they see on protest videos, then they haven’t grasped the gravity of their predicament.
I’ll save the Samia regime the trouble.
What led to the collective snap of the masses is simple: you have people who don’t know each other, have never spoken, yet share one thing — a quiet, common understanding that things are not okay.
Tanzania has millions of young, energetic people of working age who are not working. Not because they’re lazy. They have a can-do mindset but operate in a can’t-do environment.
Some even heeded the government’s “Mjiajiri” call — myself included.
But as I said, we’re laboring under disabling policies designed to keep the little guy from ascending the economic ladder. We see how you respond to Starlink. We see how you rush to tax small, survivalist digital entrepreneurs without nurturing the sector.
More frustrating — and frankly insulting — is how the government has waxed its ears to our pleas and suggestions. When it finally decides to respond, the answer is always: “Shut up and be thankful.”
This has pushed an entire energetic generation to use its energy in ways the regime now finds shocking and incomprehensible. You really didn’t see this coming?
Mange Kimambi or opposition leaders couldn’t have pulled this off. They’re merely leveraging a reality that, Africa’s population boom is quickly turning into a population bomb.
I expected to hear, first and foremost, talks about economic reforms from “elected” leaders. All I’m hearing are vengeful, chest-thumping speeches.
BREAKING NEWS: Mahakama ya kimataifa ya ICC, imekaa leo kujadili matukio ya mauaji yaliyofanyika Tanzania. Samia, Abdul na Genge lenu kaeni mkao wa kula.
Tuendelee kujaza FOMU hiyo ICC nimeweka link: https://t.co/H1PvBEYUt3 . tujaze kwa wingi na tuambatanishe USHAHIDI wa video na picha za mauaji aliyofanya DIKTETA JIKE.
Tufanye kwa wingi sana, hii ndio mahakama pekee inayoweza KUMFUNGA SAMIA duniani. Tusikubali damu za ndugu zetu kwenda bure, tuendelee kujaza FOMU naomba naomba JAZA FOMU YA ICC.
USILALE KAMA HUJASUBMIT FOMU YA ICC, KINYUME NA HAPO WEWE NI MSALITI. USHAHIDI TUSHAPOST MWINGI SANA, DOWNLOAD KISHA SUBMIT.
REPOAT 200.
#TUTAKUWEPO🫵😎
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 140
Anaendelea Mhe. Lissu na maswali ya Dodoso
Ulisema Wakati wa kuandaa taarifa yako ya Uchunguzi ni lazima ufanye reference kwenye Police Notebook na huku ukiangalia yale uliyokuwa umeandika kwenye Polisi Notebook, ni sahihi ulisema hivi?
Samuel Kaaya : Nilisema.
Mhe. Lissu: Yako wapi sasa kwenye maelezo?
Samuel Kaaya : Hayapo.
Mhe. Lissu: Ulisema hapa Mahakamani kuhusu covering letter na ukaiambatabisha na taarifa ya Uchunguzi, Je hayo nayo yapo kwenye maelezo yako?
Samuel Kaaya : Ni kweli nilisema lakini hayapo kwenye maelezo yangu yale ya Polisi.
Mhe. Lissu: Hiyo covering letter umeleta?
Samuel Kaaya : sijaleta kwasababu ni internal communication.
Mhe. Lissu: Kwahiyo haiwahusu Majaji?
Samuel Kaaya : Ni kweli haiwahusu.
Mhe. Lissu: Sasa kama haiwahusu uliisema hapa Mahakamani ili iweje?
Samuel Kaaya : Mimi Sijui.
Shahidi hapa amepiga ile tunaita CHAKUFIA NINI?😀😀😀
Mhe. Lissu: Je barua uliyoandikiwa ya kukuomba ufanye uchunguzi umeiwasilisha kwenye kesi hii?
Samuel Kaaya : Hii haina uhusiano na kesi hii.
Mhe. Lissu: Je barua ya pili umewasilisha?
Samuel Kaaya : Sijui wanayo Mawakili wa Serikali.
Mhe. Lissu: Unasema ulifungua mafile mawili ya Uchunguzi baada ya kupata hizo barua kutoka requesting authority. Je hayo mafile umewasilisha mahakamani kama kielelezo?
Samuel Kaaya : Sijawasilisha.
Mhe. Lissu: Mahakama sasa itajuaje kama wewe ndio uliombwa kufanya uchunguzi kama hujaleta barua uliyoombwa kufanya uchunguzi na pia hujaleta ripoti wala video itakuaminije?
Samuel Kaaya : Itaniamini kwa maneno yangu hapa Mahakamani na hayo maelezo ya Polisi.
Mhe. Lissu: Umewahi kusikia msemo wa Kiswahili kuwa maneno matupu hayavunji mfupa?
Samuel Kaaya : Sijawahi kuusikia.
Mhe. Lissu ; Je mkono mtupu haulambwi?
Samuel Kaaya : Sijawahi sikia.
Mhe. Lissu: Je Mali bila daftari hupotea bila habari?
Samuel Kaaya : Huo nao sijawahi kuusikia.
Mhe. Lissu: Sasa maneno yako na wewe hapa Mahakamani yamepotea bila habari.
Watu wanacheka 😂
Mhe. Lissu: Ulisema habari ya kitabu cha Laboratory Boom Register, Je nayo umeileta hapa Mahakamani?
Samuel Kaaya: Sijaleta pia.
Mhe. Lissu: Hivi ili uwe assigned kufanya uchaguzi utararatibu ukoje?
Samuel Kaaya : Zipo minutes pale kwenye file la Ofisi ndio anaandika huko.
Mhe.Lissu: Hiyo ndio tunaita kwa lugha za ofisi ni Dokezo 70 kwamba inaandikwa kazi fulani aifanye fulani?
Samuel Kaaya : Ni sahihi.
Mhe. Lissu: Sasa umeleta hiyo dokezo 70 hapa Mahakamani?
Samuel Kaaya : Sijaleta.
Mhe. Lissu: Nisaidie ulisema kulikuwa na majalada mawili la kwanza ni taarifa za uongo na la pili ni uhaini. Hayo maneno yako wapi kwenye maelezo yako?
Samuel Kaaya : Hayapo sikuandika.
Mhe. Lissu: Katika uchunguzi wako ulisema hiyo video ilikuwa uploaded kwenye channel ya youtube ya JAMBO Tv ni sahihi?
Samuel Kaaya : sio sahih, mimi nilisema video imepatikana kwenye youtube kupitia account ya Jambo Tv.
Mhe. Lissu: Kwahiyo hiyo video ilipatikana kwenye account ya Jambo TV?
Samuel Kaaya : sahihi.
Mhe. Lissu: Sasa waeleze kama uliweza kubaini mtu aliyeiweka video clip kwenye hiyo account ya Jambo Tv?
Samuel Kaaya : Mimi experts sijibu facts najibu kama mtaalamu.
Mhe. Lissu: Sasa mimi ndio nashitakiwa kuwa nimeiweka huko Jambo TV na wewe ni mtaalamu umekuja leo nataka utusaidie, nani aliweka?
Samuel Kaaya : Account ya Jambo Tv ndio iliweka hiyo account.
Jaji Kalyamaahe: Kwahiyo ulibaini mtu au hukubaini mtu aliyeweka hiko youtube?
Samuel Kaaya : Mimi sikubaini mtu.
Mhe. Lissu: Mimi nashitakiwa kwa kuweka hiyo video huko Jambo Tv basi na mimi nitumie fursa kusema Mwenyezi MUNGU akurehemu na kukubariki sana maana kama mtaalamu umesema mimi sijaweka huko hiyo video nani mwingine atakuja kusema mimi niliweka hiyo video. Ahsante sana.
Part 141 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 134
Anaambiwa hapa Mh. Lissu kuwa GN. iliyomteua ilikuwa inasema anapaswa kuteuliwa na AG na sio DPP.
Mhe. Lissu anawaomba hapa Vijana wake wamfanyie research kama kipindi hicho sheria ilikuwa inasema hivyo.
Anaambiwa ni sahihi.
Anasema sasa nakubali hata kama Sheria inasema AG ndio alipaswa kumteua swali la msingi linabaki kuwa AG alimteua shahidi huyu kama mtaalamu wa picha na sio mtaalamu wa video.
Lakini pia shahidi ameandaa taarifa badala ya Certificate wakati CPA imetoa kwenye third schedule format ya hiyo certificate.
Pia GN. No. 823 na GN. No. 825 zimewataja wataalamu wa cyber forensic na huyu shahidi hayumo.
Kwahiyo nasisitiza vielelezo hivi visipokelewe kwa maana ya ripoti ya mtaalamu.
Naomba kuishia hapo.
Majaji wanateta kidogo pale na wanawaita upande wa Mashitaka.
Anasimama Renatus Mkude na anasema mara baada ya kupokea ile ruling ya kwanza na Mshitakiwa ameirejea sana ile ruling ya kwanza tunaomba nusu saa ya kwenda kutafakari halafu tukirudi tutakuja na msimamo wa namna ya kwenda mbele.
Majaji wanateta kidogo.
Jaji Nduguru anasema Mahakama imehairishwa mpaka saa sita mchana ili upande wa Jamhuri waende kutafakari.
Watoto wa mjini wanasema Hii Kesi ishakuwa ngumu, aliyetumwa kumpelekea chakula mtuhumiwa na yeye kakamatwa kawekwa lock.😀😀😀
Tukutane baada ya nusu saa.
Naomba Repost yako.