Kuna RAIA wa ETHIOPIA 38 wanashikiliwa kwa ZAIDI ya MWAKA 1kwenye GEREZA KUU ARUSHA kinyume cha SHERIA. RAIA hao, SIYO WAFUNGWA wala MAHABUSU. Kwa MASLAHI ya HAKI na DIPLOMASIA ya nchi yetu, NAIOMBA Serikali IWAACHIE HURU mara moja RAIA hao.
Muda huu natoka MWANZA kuelekea DAR ES SALAAM ambapo leo tarehe 21 Septemba 2023 Mahakama ya Korona Kinondoni itatoa UAMUZI kuhusu sababu za KIFO cha STELLA MOSES. Je, ALIJINYONGA au ALIULIWA NA POLISI? Tusubiri kidogo tu.
Free Adv. Peter Michael Madeleka @PMadeleka a really soldier in struggle for justice. Utatoka na tutajumuika pamoja kuendelea kutetea haki za wananchi, rasilimali zetu. Mungu akutie nguvu counsel.
Protesting outside the Tanzania Embassy in Washington, DC today. Here is a message to President @SuluhuSamia and @DPWorldUAE.
OUR PORTS, OUR HERITAGE. NO TO DP WORLD #NoToDPWorld
"SISI BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA HATUUNGI MKONO MKATABA HUU".
Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kuhusu suala la Uwekezaji katika Bandari nchini.
https://t.co/zcIcnNyQUr
#kanisakatolikitanzania