Top Tweets for #NoToDPWorld
π·π·π·Guys, Filed kuwaandikisha wanachama Kidigitali. Leo kabla ya mkutano wa hadhara tutafanya uandikishaji wanachama Kidigitali Uturo. #ChademaDigital. #NoToDpWorld #KatibaMpya
Tukimaliza kazi hii, tutakuwa pamoja.βοΈ
Liberatus Mwang'ombe
Mbarali Mbeya

Filed kuwaandikisha wanachama Kidigitali. Leo kabla ya mkutano wa hadhara tutafanya uandikishaji wanachama Kidigitali Uturo. #ChademaDigital. #NoToDpWorld #KatibaMpya
Filed kuwaandikisha wanachama Kidigitali. Leo kabla ya mkutano wa hadhara tutafanya uandikishaji wanachama Kidigitali Uturo. #ChademaDigital. #NoToDpWorld #KatibaMpya

@mdudechadematz Wakati wao wanawasaka waliovaa nguo nyeupe, mpango ulikuwa watu waandamane wakiwa na nguo za kijani mfano wa zile wanavaa askari. Nadhani mmeona wenyewe jinsi maandamano yalivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa.
#NoToDPWorld
π¨π MAANDAMANOππ¨
Diaspora - USA
When:- Friday November 10, 2023
Time:- 11am
Address:- 3522 International Ct NW #100,
Washington, DC 20008
Embassy of the UAE π¦πͺ
#NoToDPWorld
#ContitutionReformNow
#OkoaBandariZetu
#KatibaMpyaNiLazima

Mdude Nyagali akimjibu OCD baada ya OCD kusema atawavunja miguu wakiandanamana. #NoToDpWorld #SaveOurPorts #KatibaMpya #StopMasaiEviction
I see some folks resort to personal attacks and character assassination. Ignore the bullshit. Keep doing what you are doing. Just know, some of us admire and appreciate what you and Mshaba are doing for our nation. Keep it up the great job! #MariaSpaces #KatibaMpya #NoToDpWorld

@JonMrema Walijua fika wangalisema ni hafla ya kusaini mikataba ya hofyo hakuna mtu angefika kushuhudia mambo ya ajabu. Pole kwa Baba zetu na wote waliokwazika. #NoToDPWorld #OkoaBandariZetu
Asante Sana Wakili @PMadeleka mambo unayoyasema mwenye akili anakuelewa vizuri sana #NoToDpWorld #WenyeNchiWananchi
DP World , Uongo na Ukweli kuhusu mkataba wa HGA
1- Serikali inadanganya umma kwamba HGA yaani makubaliano ya DP World na TPA ni makubwa kuliko makubalino ya Tanzania na Dubai, IGA ni makubaliano ya kimataifa, na IGA ndio imeleta HGA, tumesaini IGA sababu Tanzania haina Bilateral Agrement yoyote ya Dubai, mchakato wake ni mrefu kidogo, na ndio chanzo cha kuingia kwenye IGA ili kukumbizana na speed aliyotaka Samia, yaani suala la uwekezaji wa DP World nchini limekuja kama suala la dharura na ilikuwa ifanyike chapu chapu, Hivyo kusema HGA imeweka ukomo ni uongo, kwa sababu IGA haina ukomo na kila HGA ikiisha ita uhishwa upya kwa miaka mingine, hii miaka 30 ya mwanzo ni mwanzo tu wa 30 nyingine nyingi zitakazofuta
2- Uwekezaji wa DP World haueleweki, hata mkataba wa HGA katika ya Bandari na DP World umeonyesha kuna fenya ya miaka 5 tu, yaani Billioni 600 . Tanzania kama Nchi tumeshawekeza zaidi ya trilioni 2 katika bandari, kutokana na uwekezaji huo tunapata Trilini 7, nini nini kitaletwa na maajibu ya Billioni 600 ? Kwa nini uwekezaji mdogo unasemwa kwamba utaleta fedha nyingi zaidi? Sababu zinazosemwa na wapambe wa serikali kwa nini bandari inauzwa ni ili kuwekezwa mtaji mkubwa, Billioni 600 ndio mtaji mkubwa tulioshindwa kuwekeza mpaka tumetafuta DP World ? Ni kwenye kwamba tumeshindwa kiasi hicho?
3- Kufikia 2030 serikali inasema itapata Trilioni 26, lakini ukubwa wa uwekezaji kufikia hiki kiwango haisemwi, Lakini kuna mkopo wa Trillion 1 ambao tumechukua Bank ya Dunia na mradi unakamilika June 2024, Kutokana na hii juhudi Document za serika zinaonyesha kwamba tutapitisha tani 30 millioni, makadirio haya ni yale yale DP World imefanya mpaka kufikia 2030, kama kuna mradi ambao utatufisha tani 30 millioni kwa mwaka, kwa nini tena tuna mwekezaji anasema atafikia tani hizo hizo kitu ambacho tunaweza fikia bila yeye itakapofika 2030, na mashaka haya yanatimilika kwa sababu pia DP World haijasema kwa kila gate itaweka mashine ngapi na hizo mashine zitawekwa au kuwekezwa bandari kwa kipindi gani ? kwa ninia hakuna data ya namna gani uwekezaji utafanyika, kwa kiwango kwenye mitambo na fedha, Kuna utata mkubwa sana ni nini kitawekezwa na DP World, hakuna uwazi kabisa nini kitafanyika hapo bandarini na DP World ni kama wamepewa KEKI iliyokamilika, sio wapishi ni walaji.
4- Kwa nini DP World wanapewa bandari kavu? Kuna ulazima gani kwa kampuni hii kuendesha bandari kavu? Uwekezaji wa bandari kavu ungeweza kufanywa na wazawa, DP World ikaweka hiyo technologia inayodai kuwa na ufanisi kwenye bandari, tunaweza tunga sera bora na sheria kuhakikisha bandari kavu zinafanyakazi kwa ufanisi, tukaweka masharti ya utoaji huduma katika bandari kavu ili kuongeza ufanisi na speed. Kuteka sector nzima na kampuni moja kuna changamoto ya usalama wa Taifa ( Kumbuka usalama sio lazima uwe ulinzi lakini pia kama kutoa nguvu kwa kampuni au mtu kiasi kwamba anaweza tikisa uchumi au huduma katika Taifa)
5- DP World ilipatikana bila ushindani, mpaka sasa hakuna sababu kubwa sana kuelezea kwa nini tuliamua kutofanya ushindani kwenye hii tenda
6- Changamoto za kiutu Loliondo, Kuna mashaka sana kwamba kampuni kutoa Dubai hazina utu, matendo yanayofanyika Loliondo ukiwa mfano hai, lakin DP World ina changamoto kuhusu haki za binadamu nchini Uingereza na Australia, Hivyo kuweka mashaka kama wataheshimu wadau wa bandari na binadamu wengine nchini, wamekuwa changamoto kwa jamii ya Maasai kwa muda mrefu, Pamoja na kelele nyingi sana kutoka ndani ya nchi na Nje, Hakuna hata siku moja Dubai imewai zungumza kuhusu haki za Maasai au kujaribu kutengeneza jukwaa kujadili changamoto zilizopo Loliondo, wamezipuuza na kukaa kimya, wameziongeza kwa kasi hivi karibuni
7- Kwa kama nchi tunaamini kufanyiwa kazi za kiuchumi hata mambo tunayoweza? Tumeingia kwenye uwekezaji wa ndege kwa kasi, tena bila hata mkakati, lakini linapokuja suala la Bandari sehemu yenye faida kuliko Usafiri wa ndege tunakimbilia kuwapa wageni, Hii ndio inajenga msingi kwamba tunauza vitu vyenye faida, Kwa nini Bandari sekta yenye faida ndio tumeona tuuze na shirika la ndege tuwekeze? Hii imefanyika kwa namna hii kwa muda mrefu, hata TTCL shiriki linalotakiwa kujiendesha kwa faida tumelipuuzia, linahuduma mbovu, je haya mashiriki yana shida wa watawala wanashida na wanatamaa ya kuuza nchi? Tulitaka kuuza NMB miaka ya nyuma , hata NBC lakini bank hizi mbili bado zipo, zinafanya kazi bila kutegemea serikali hata kama kuna changamoto katika ufanisi na utoaji huduma hayo ni masuala ya uongozi ni tatizo la CCM na serikali zake sio mashirika husika
8- Tumewekeza kwenye reli matrion ya fedha ili kuweza kukimbiza mzigo kwa kasi kutoka bandarini, wakati Reli inakaribia kukamilika ndio tunauza bandari ? hizi sio ishara za rushwa? Bandari ni tegemezi sana kwa reli au barabara, inakuwaje wakati ambao nchi imepata reli ya kisasa ndio unauza bandari kwa mwaarabu ili afaidi mazingira bora? Kumbuka hapo nyuma nimeeleza tumewekeza kwa kasi sana kwenye bandari yenyewe hivi karibuni ( RoRo) kwa sasa inaweza pokea meli kubwa zaidi na kupakuwa kwa kasi nzuri, ndio tunaona tuuze bandari
9- Bandari ya Dar ina gate 12, serikali inasema imetoka kidogo tu kwa DP World, na wanasema wametoa gate 4 β 7, hizi ni gate 4 jumla au 33.33% ya bandari lakini pia eneo kubwa la mzigo hapo kurasini wamepewa DP World ili ni eneo kubwa kuliko yote na ni loss cargo kwa maana nyingine 100% yote nchi wamepewa DP World, serikali inasema itashirikiana na DP World kwenye gate 0 β 3 , Hii ni 33.33% nyingine ya bandari ukijumlisha ni inakuwa 66.67% ya bandari ya Dar Es Salaam mpaka sasa iko chini ya DP World kwa upande wa gate, kwa 66.67% gati ziko chini ya DP World na 100% ya bandari kavu zote nchi zitakuwa chini ya DP World, eneo la KWALA ambalo limejenga na serikali, mpaka kupeleka reli na barabara wamepewa DP World !! Ni kweli TPA wengeshindwa kuendesha bandari ya nchi kavu KWALA? Huu sio aina nyingi ya ufisadi na uhujumu uchumi kwa TAIFA leo? Kwa sasa serikali inajenga bandari Kigoma, inaboresha Tanga na Mtwara na inajenga bandari 2 Mwanza, kuna bandari ya kawaida na nyingie ya karakana Mwanzo North zote ni kwa gharama ya kodi za Watanzania lakini zote zimepewa DP World, Kagera kuna uboreshaji wa Bandari na tunafanya kwa fedha za umma, hapo napo DP World amechukua
10- Tunachopinga kama wananchi kuhusu DP World, ni namna mkataba wao kuja nchi ulivyoandikwa IGA na sio HGA , Japo HGA inatakiwa kwenda bungeni pia na kujulikana kwa umma, imefanywa Siri na serikali, cha pili ni namna ili kampuni limepatikana , Kwenye Cement serikali imeweka sheria inayoweka hukomo wa 35% kwa kampuni moja kumiliki soko, ili kumlinda mlaji lakini pia kulinda USALAMA WA TAIFA ( kUMBUKA ulinzi wa Taifa sio Usalama wa Taifa, usalama wa Taifa unakwenda mbali zaidi) , DP World amepewa 100% ya loose cargo kwa miaka 30, amepewa 66.67% ya gate zote nchini, kwa nini hakuna suala la usalama wa TAFIA kwenye suala la bandari lakini kwenye cement tumedhibiti viwanja kwa 35% . Hii inaleta wasiwasi ya pili ya rushwa kwenye maamuzi ya suala ili, TICTS alikuwa na 33.33% ya bandari yaani gati zote hakuna wakati tumekuwa na mwekezaji kwenye bandari mwenye kiwango cha juu kama DP World
11- Mwisho, Wakati wa kuweka saini HGA katiba ya TPA na DP World, Kupitia Mrisho Mpoto, serikali ilitikana wakosoaji kama watu wabaya, na ikasema wengine walikuwa hapo kwenye sherehe kula ubwabwa mchana, Lakini serikali hiyo hiyo inasema inasikiliza maoni ya wananchi na imeboresha mkataba, Nchi nzima inatambua Mwabukusi amefungua kesi kuhusu suala la mkataba huu, matokeo yake alikamatwa na polisi na mikutano yake imekuwa inadhibitiwa. Kama Mwabukusi aliyejitoa mpaka kufungua kesi hakusikilizwa serikali imesikiliza kweli wananchi? TEC ilitoa waraka, ukiwa na maoni kuhusu suala ili, Majibu ya Serikali akiwema Rais Mstaafu Jakaya ilikuwa ni TEC imechanganya dini na SIASA ? nani amesikilizwa na serikali? ACT Wazalendo walau ni kundi pekee linasema limesikilizwa maoni yao
12. Serikali inadanganya itakuwa na 60% kwenye umiliki wa DP World nchini, huu ni uongo uliokubuu, mara nyingi serikali imekuwa ikichanganya wananchi kuhusu hizi asilimia za umiliki, asilimia hizi mara zote zina maana ya gawio sio umiliki wa hisa , gawio la faida baada ya kuchakatwa kila kitu na kinachobaki mezani ndio gawio, hapo kuna ghalama za mtaji, kuna faida kwenye uwekezaji lazima itolewe kwanza, kumbuka gharama za mtaji inaweka kuwa riba ambayo DP World wamewekewa na waliowapa pesa jumlisha administrative na wakala wa mkopo ( Mnakumbuka kesi ya Kitilya alikuwa wakala wa mkopo hii mikopo mikubwa ina mambo mengi) kisha mtaambiwa gharama za software na mitambo, kwenye mitambo kuna ukarabati kabla ya kupigwa na bill kubwa ya mabilioni kwenye mishahara ya wakurugenzi na board ya wakurugenzi, mpaka hapo keki imebaki kiasi cha mbuzi
ASANTENI SANA CHA MLEVI ULIWA NA MGEMA shangazi usema #TutaelewanaTu #ChangeTanzania

Hapa mwarabu kapewa nchi maana DP World wamekamata hadi logistics! Sasa nawaambia subirini kidogo mtaanza kulialia humu hadi nyie mahodari π€£
Mi nipo na ninawaambia those smug smiles on your face will be wiped! Na mi nitakuwa hapa nawakumbusha!
Endeleeni ila #TutaelewanaTu

#DearNyerere
#Gazagenocide #ΨΊΨ²Ψ©_Ψ§ΩΨ’Ω #HamasTerrorist #IsraelFightsBack #Isarael #MatchHoTohZomato #IsraelPalestineConflict #BoycottIndoPakMatch #IsraelTerrorists #Palestine #NoToDPWorld Hamas Will Smith ISIS #NoBraDay Gaza Egypt #kipaumbelenimtoto #Tanzania Fear Women Broo

Wananchi mjiandae, maandamano yanaanza tarehe 9 novemba 2023. Someni press release ya @mdudechadematz #notodpworld #OkoaBandariZetu #tutaelewanatu

Wananchi mjiandae, maandamano yanaanza tarehe 9 novemba 2023. Someni press release ya @mdudechadematz #notodpworld #OkoaBandariZetu #tutaelewanatu

π·π·π·Bado siku 2 kuelekea Tamko la Maaandamano ya Amani, Kupinga Mkataba wa bandari, mikataba yote iweke wazi na Kuitaka serikali Kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya Sasa. #NoToDpWorld #KatibaMpyaSasa #StopMasaiEviction
Kusaidia harakati hii, share. Tutatuma count down kila siku.

Bado siku 2 kuelekea Tamko la Maaandamano ya Amani, Kupinga Mkataba wa bandari, mikataba yote iweke wazi na Kuitaka serikali Kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya Sasa. #NoToDpWorld #KatibaMpyaSasa #StopMasaiEviction

Bado siku 2 kuelekea Tamko la Maaandamano ya Amani, Kupinga Mkataba wa bandari, mikataba yote iweke wazi na Kuitaka serikali Kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya Sasa. #NoToDpWorld #KatibaMpyaSasa #StopMasaiEviction
Kusaidia harakati hii, retweet. Tutatuma count down kila siku.

@Mwabuk2Boniface Tunawajua walivyo mkuu. Tuendeleze Mapambano bila kujali changamoto tunazokumbana nazo. Mungu atujalie afya njema wapenda haki wote. Amina.
Tusikubali mtu yeyote kutugombanisha. Together we say #NOTODPWORLD, #WEWANTNEWCONSTITUTION.
Last Seen Hashtags on Sotwe
masterboy
Seen from Turkey
ε₯³ζ¦ιε‘
Seen from Japan
momson()filter:native_video
Seen from Singapore
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈ±ΰΈΰΈ’ΰΈ²
Seen from Thailand
ζ΅εΊ
Seen from Japan
ΩΩΨ¬
bussy
Seen from France
ΰΈΰΈΰΈ‘ΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ’ΰΉΰΈ
Seen from Thailand
nolimit filter:videos
Seen from United States
romaniasupports1d
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers


















