@KennedyMmari Wale DMDP Ofisi zao pembeni ya la KKKT Mviringo, Magomeni sijuagi ishu yao haswa nini,,supposedly they had role to play, lakini ndo hivo mzigo mkubwa unakuaga compensations
@_midy10@AlexSamoja Watu sijui wana hallucinate, mtu mwenye uwezo wa kumlipia ada mtoto millioni 30 huyo sio wa kawaida kwa huku kwetu, nashangaa majanja wanaitaja kirahisi rahisi tu.
@christopherjul8@AlexSamoja Hamna hata hizi za private za kawaida, kuna utofauti mkubwa na zetu za gavoo, hapa nyinyi mnazungumzia za Gavoo za mjini, au zile za bweni, kuna za gavoo za ndichi vijijini huko, ambazo ndo nyingi. Mtu ana ka million 4 kake kwa mwaka asimpeleke mtoto private, hapo NO kwa kweli.