@JMishwaro @ObeidHussein3 @kigogo2014 Mbona mara kibao tu wanapitisha fomu za kujenga misikiti na akina Benson tunachangia? Watoto wa Madrasa wanatukaba kila kona mtaani, michango ya ujenzi wa madrasa zao.
Sasa hata omba omba tuTawasaidia kwa kiudini. Ukija nakusalimia TUMSIFU YESU KRISTU, usipojibu, nakusepesha.
@ShililaGee@MariaSTsehai Kwa hali hii kweli elimu yako ni duni sana. Aliyekuambia kutokujua Kiingereza ndo ukosefu wa elimu ni nani? Kwanza elimu ipi unayozungumzia hapo? Inasikitisha sana.
@Allypapala@JMakamba Yaani nyie huwa mnachekesha sana, kila sehemu lazima muweke upinzani kwa Rais usio na msingi. Umeambiwa viti vilibadilishwa sababu ya influence ya Wamerekani na si Kikwete. SWALI: Hivyo viti vinavyozidi mabega JPM kaja navyo yeye? Marais almost wote wanekalia why alaumiwe mmoja?
@DrMabula Ommit hiyo Prefix Dr. kwenye jina lako, halafu andika chochote kinachohusu afya as you always do kama hutonekana muhuni tu.
Umeiweka ili ku-demonstrate uelewa wako katika field husika, ambayo kimsingi unatuambia kuwa una kipande cha karatasi nyumbani kwako.
Hukufikiri sana Dk.
@HKigwangalla Kuna nyimbo kama vile "WE ARE GONNA BE OKAY" by Dan Whitener, zimeimbwa na Wamarekani wenyewe wenye lugha/style yao na wametumia hiyo article "Are".
Mbona haters mnakuwa na upofu kiasi hicho. Mnakomalia petty issues ambazo mwisho wa siku mnaishia kutuaibisha tu. Pathetic!!
@HKigwangalla Kweli nimeamini @HKigwangalla una haters wengi sana. Yaani wanakomalia hiyo Article "ARE" ambayo kimsingi katika Informal Spoken Language (American) haibadilishi maana ya kilichokusudiwa.
Uiweke au Usiiweke zote ni Contraction za "We are going to have".
Mnatuaibisha nyie haters
@masoudkipanya Idiosyncrasy + Imperialism
As part of economic emancipation, mnyonge ameamua kusimama imara kutetea rasilimali zake. Mnyonyaji aliyekuwa akiona mnyonge ni sehemu ya empire yake sasa ame-surrender.
Kitu si cha kawaida hicho ni idiosyncratic. TZ tunaweza kwenye awamu hii ya 5.
@TambaraRamadhan Umeanza kwa kujifanya mjuaji nakuanza kuilaumu nchi. Hujaona mtoa post hajalalamikia dawati la siasa bali mtu binafsi? Unaweza taja nchi ambayo Intelligence yake haihusishi mambo ya kisiasa? Ndio maana kama kitu hujui usianze kwa kulaumu au kutukana utaonekana wa ajabu mwenyewe
@TambaraRamadhan @kigogo2014@zittokabwe Kweli tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa hali hii. Lakini ni bora kwa kuwa umejiuliza kama umeelewa au hujaelewa. In short HUELEWI KITU.
@kasangafabian4g@HildaNewton21@kigogo2014 Bora umeoliona hilo, kanatafuta hisani ya wanasiasa. Katachezewa tu kataachwa. Ona kanavyo-respond, na kanaweza kuwa kasagaji haka, si kwa response hiyo ya kihuni.
@kigogo2014 Hiki Kiingereza balaa sasa. @NikkiWApili alichekwa sana alipokosea kuandika neno College. Ila nyie ndo mnajiona mna haki ya kukosea na msiambiwe. Surprisingly, wafuasi wako wote hawajathubutu kukwambia ukweli kuwa UMECHAPIA..... kuandika "Is he a men?" ni kosa kubwa sana la jinai
@el_hustling @MankindUwezo@TunduALissu Mfano wako bado uko weak sana. Unajuaje kama dereva wake naye hakuhusika kwenye shambulio hilo? Everything is possible under this sun, watu huwa wanafika bei; though sihukumu kuwa dereva wa Lissu alifika bei. Ukweli anaujua mwenyewe.