@INFLUENCERjr Muda na kila ulichonacho we ni mwangalizi (custodian); kuwa makini sana with opportunities and favors that knock at your door. Pia weka akiba ya maneno ukifanikiwa. Na never ever put your trust in men.
@Dearme2_ Self-respect is key, but don’t confuse it with pride.
A strong man knows when to walk away, but also when to communicate and fight for what matters.
Balance is strength.
Sahau kila mtu duniani lakini usimsahau boss aliyekupa kazi yako ya kwanza after school au Mtu aliyekupa deal lako la kwanza kwenye hiyo biashara, hawa walikuamini bila sababu yoyote ya msingi.
Count the times partners and friends ambao wamegrow kutokana na input yako…..
Usicount kama wamerejesha fadhila, au wanakukumbuka; just acknowledge abilities zako. Hizo ndio assets zako.
Hamna anayeweza zichukua kutoka kwako, endelea kujijenga.
I’m in heart failure. I know I’m living my last days, & facing death has a way of boiling things down to the truly important: God and family. That’s it, nothing else really matters. And if I had one message to give to people, and I promise this is true, it is this:
God is good.
My goodness, thank you all so much for your loving and kind words. I’m overwhelmed with the love and prayers, and so grateful. I wish I could reply to all of you, but please know that I’m very thankful for you all 🙏❤️🤗