@Moker___ Ukitoa wanafunzi wanaokodishiwa mabasi, na kupewa fulana za kijani na njano, ukitoa wanao kwenda kutazama wasanii, anabaki na msafara wake na less 100
@Sirajitz1 Kwanza wewe ni liongo , na mwanaume kuwa liongo liongo haipendezi, hyo picha uliotupostia haihusiki chochote na tukio la jana Ikungi,
Utashikwa matako karibuni kama ukiendelea kuwa liongo liongo namna hii
@Sirjeff_D Wana ufinyu wa IQ lakin hawana kisukari, wana ufinyu wa IQ lakini hawana pressure, wana ufinyu wa IQ lakini wana amani na furaha wanaishi vizuri, hawateswi na mapenzi, wameishi maisha marefu na wanamshukuru Mungu kwa hilo, wewe na gari lako na kisukari , endelea kufinyua iQ
@DianaJohn2224@freemanmbowetz Chadema kama taasisi tangu miaka 21 iliyo pita iko chini ya mbowe tu, ina maana haina recruitment, production ya viongozi?
Tangu awamu ya 3 mbowe ni mwenyekiti chadema hadi hiinya 6, ?kwannhakuna wanachama wengine wenye uwezo wankuongoza
@Sirjeff_D Biblia iko wazi kuhusu SABATO
Nehemia 13: 15-22, kutoka 20:8-11, Isaya 66:23, Ezekiel 20:12,20 , Isaya 58:13,
Je agano jipya yesu na wanafunzi / mitume walitunza SABATO ?
Matendo 13:44, 16:1,13, Luka 13:10
anyway biblia nzima imeizungumzia SABATO kama siku takatifu ya Mungu
@Sirjeff_D Kijana kuzagamuana ni tabia ya mtu, ( umalaya wake) sio tabia ya kanisa wala mafundisho ya kanisa, mikutano ya watu wengi kila mtu huja na tabia yake,
Makande ni chakula kama wali, sio spesho kwa ajili ya wasabato,
Mafundisho ya Elen hayajapishana na biblia hata kidogo
@Ntiliyo57@Warison630776@Sirjeff_D Kijana usipo tubia hii dhambi, MUNGU hadihakiwi,, litakukuta jambo karibuni kabla ya tarehe 10 /01/2025,
Fanya ufanyavyo uitubie na kuungama hii dhambi ulio ifanya,,
Sikujui hunijui ila MUNGU ninaye mfahamu japo kwa uchache HAJAWAHI KUDHIHAKIWA NAMNA HII AKAKAA KIMYA
@PMadeleka Uongo
huwezi kumsifu mtu aliye kunyang'anya vazi lako la halali kisha akirudishia kwa masharti tena amelikata vipande,
Kama wenje na timu yake wana hyo agenda watakipoteza hiki chama