#mjukuu wangu wa kike anadai hawezi kutoka naye hata wabaki wawili duniANI. Nimemuuliza umetongozwa? Anasema hapana. Nimemuuliza sasa kwanini unajitongoza na kujijibu mwenyewe anadai anajua tu anamtaka. Acheni uduanzi, jibidiisheni kwenye shughuli za kujikwamua kiuchumi.
CCM wamehakikisha hakuna community organizing maana hata VICOBA kuendesha community financing unahitaji kibali! Ndo maana nawacheki watu wanashangilia mambo ya Twitter kufunguliwa huku hata kukutana kwa shughuli za kiuchumi ni mpk leseni! ๐
Tunashindwa kudai haki za msingi
Kila mmoja wetu kwa namna moja au nyingine alipitia kimsukosuko maishani mwake iwe kimapenzi au kimaisha, tuonjeshe kidogo ulivyoachwa ilikuwaje? Ulitesekaje๐ฅ
#NyumaYaPazia