Huwezi kuwa mwenye Dhambi ukawa ndani ya Kristo mda huo huo maana Ndani yake hamna Dhambi.
Huwezi kuwa Mwana wa Mungu ukawa mwenye Dhambi Yeye huzaa Wana wa kufanana Nae.
Yeye ni Mtakatifu mzazi wa Watakatifu.
On Spiritual Fathers (STRICTLY FOR MINISTERS OF THE GOSPEL).
“For though ye have ten thousand instructors in Christ, yet have ye not many fathers: for in Christ Jesus I have begotten you through the gospel.” 1 Corinthians 4:15.
#PowerCityFamily#Homecoming24#UyoAIHeaven
“If the world hate you, ye know that it hated me before it hated you. If ye were of the world, the world would love his own: but because ye are not of the world, but I have chosen you out of the world, therefore the world hateth you. Remember the word that I said unto you, The servant is not greater than his lord. If they have persecuted me, they will also persecute you; if they have kept my saying, they will keep your’s also. But all these things will they do unto you for my name’s sake...” John 15:18-21.
Snippet from the #Homecoming24 #PowerCityFamily #UyoAIHeaven Conference in August 2024.
Watch the full teaching here —> https://t.co/J4wsNC3t06
Mtu amefariki miaka 10/20 imeshapita hata na zaidi, Lakini bado tunasali/swali kumuomba Mungu ampokee na kumpumzisha pahali pema peponi.
Hii miaka yote 10/20 Mungu anakuwa bado hajafanya maamuzi ya wapi pakumpumzisha?🤔
Je mtu huyo anakuwa yuko wapi kipindi hicho chote? Yuko kwenye state gani?
Au dua zetu za miaka mingi kupita zinaweza badili maamuzi hayo ya mkuu?🤔
Huwa nasikia watu wakiomba kwa kusema Mungu ampunguzie adhabu za kaburi….Lakini mtu huyo amefariki Since 2004.
Inamaana kwa miaka 20 yote bado tu nafsi yake iko kaburini inapitia mateso?🤔 Na maombi yetu yanaweza iponya nafsi yake?
Siko vizuri kwenye hii elimu, nielewesheni kwa lugha ya upole.
@Roma_Mkatoliki Kulingana na biblia, @Roma_Mkatoliki kila anae Mwamini Kristo Yesu kwamba alikufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zake anaopata Msamaha wa dhambi zake zote/UZIMA WA MUNGU NDANI YAKE (Yoh 3:16-18,Kol 1:13-14) hakuna maombi ya kumsaidia mtu baada ya kufa hata biblia haina hayo.