FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush https://t.co/Ea8XqN8x6a https://t.co/8D1CP2WruW
Ukifuta namba ya mtu siku akikupigia acha unyonge " Eti ooh simu nilipoteza we mwambie tu ukweli " Nilifuta kwa sababu huna msaada wowote kwangu " ๐
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
@iboysean Huyo binti nili meet nae Hopack pale ndo anapofanya internship sijui ile , tulienda kikazi, Yuko smart Sana Kichwani na pia ana moyo Safi Sana.
Ni mtoto wa kigogo ila Hana hizo hulka na pigo za wa ivo