@ExMayorUbungo Kiongozi.Hawa watu wanataka kutufunga midomo.Vyovyote itakabyokua ,Sintakubali kunyamazia dhuluma kwa hofu ya mavyeti yao.Sijatenda kosa lolote. .Nashukuru kwa taarifa hii na kwa kuhimiza ushirikiano.Tusiogope lazima tukabili dhulma hizi kwa nguvu na msukumo stahiki bila hofu.
Kuhusu MWABUKUSI & MADELEKA maelekezo yaliyopo ni;
1. Boniface MWABUKUSI asiwe Wakili.
2. Peter MADELEKA asiwe Wakili.
3. Wameshafutwa uwakili wao tangu mwezi February, 2024
4. Taratibu za kuwafutia leseni za uwakili ndiyo zinaendelea baada ya kufutiwa leseni kwa maelekezo ya vikao.
5. Mahakama, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na baadhi ya Mawakili wamehusika katika vikao vya mipango hii dhidi ya mawakili hawa.
6. Peter Madeleka na Boniface Mwabukusi wanaponzwa na misimamo yao mikali dhidi ya serikali.
7. Boniface Mwabukusi anafutiwa leseni sababu ya DP World.
8. Peter Madeleka anafutiwa Leseni sababu ya kesi ya Pauline Gekul (Mbunge wa Babati).
9. Mpango ni kunyamazisha Mawakili na wanataaluma wote wanaokosoa serikali.
10. Ni kikundi tu cha watu wachache kinafanya haya ili kujipendeza Kwa Rais @SuluhuSamia.
Mwisho;
Natamani Sakata hili la kuwafutia leseni mawakili hawa nguli na watetezi wa wananchi tusiwaachie wao wawili bali WATANZANIA TUIBEBE HII VITA kama yetu wote.
Leo kwao, kesho kwako.
@ExMayorUbungo HII NCHI YA AJABU SANA,ALIEJITOKEZA KUWAAMURU POLISI WASIFATILIE WAKIPOTEZA WATU YUKO HURU ILA WHISTLEBLOWERS WANAO ALERT RAIA KUHUSU KUPOTEZWA WANAKAMATWA KUHOJIWA,TABIA YA KUNYAMAZISHA SAUTI ZA RAIA WEMA bado inatumika Adi leo. NI Kampeni za UCHAFUZI ziNEANZA RASMI SASA au?
@TZMsemajiMkuu TUME YA "UCHAFUZI" , ACHENI KUDHIHAKI WAPIGA KURA .HAYA MADHARAU NI YA KIPIMO CHA MWISHO.HATUNA SHIDA NA JINA LA TUME.MNAJUA EXACTLY TUNACHOTAKA NI TUME ILIYO HURU NA HAKI,ILA HAMTAKI. KUENDESHA CHAGUZI KWA SHERIA NA KANUNI ZA 2019/2020 MTAINGIZA NCHI KWENYE MACHAFUKO!
@Jambotv_ TANGU LINI UCHAGUZI ULIFANYIKA TANZANIA?HUU UPUUZI WA TUME ZENU ZA KUBUMBA NDO MNAITA UCHAGUZI?HATA mngeeka MAWE YANGESHINDA KWA TUME NA SHERIA MBOVU KAMA HIZI, SEMBUSE NYIE MLOBEBA MATUMBO MATATU MATATU.
To: Tourists visiting Arusha, Tanzania, please watch out. The criminal Paul Makonda will be your host.
During Magufuli regime Dar Es Salaam under Paul Makonda as a regional commissioner was a scary and traumatizing place to visit and live. Hundreds were kidnapped and lost lives.
Last night, the so called “reformist” @SuluhuSamia with bluff 4Rs has appointed Makonda as Arusha regional Commissioner. In a nutshell, President Samia has given Makonda the full power to kidnap and infringe the right to live as he did in Dar Es Salaam under Magufuli.
To all tourists who are planning to visit Arusha, please watch out. The criminal Makonda who the @StateDept designated US persona non granta because of his involvement in human rights violations, controls all the security apparatus in Arusha. Be careful.
Pic: Paul Makonda terrorizing @CloudsMediaLive with firearms when he was Dar Es Salaam regional commissioner. To date, no action has been taken against him because of nepotism and empyunity.
Once a criminal, will always be a criminal.
Nchi hii inaumiza sana.Aliyepigwa risasi mbele ya CCTV Camera ktk Mji wa Serikali Dodoma uchunguzi wake haujaanza mpaka leo, lakini aliyeshambuliwa kwa risasi akiwa maporini timu ya Makao makuu Polisi wameshaanza uchunguzi kwa kushirikiana na Polisi Mkoa Manyara. Binadamu wako CCM sisi wengine ni kama panya tu Nchi hii.Inasisimua sana tena kwa hasira kuu.
Mwaka 2016 mbele ya Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu, Msajili wa hazina alisema Air Tanzania hawana mpango kazi, hakuna mpango wa biashara, hakuna sera ya uwekezaji, hakuna mpango wa urithishaji utaalam. biashara unaifanya vipi? Huna mpango wa biashara, utajua madeni ya kampuni?
Msajili wa hazina akaendelea kueleza Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwamba “ATCL hawana (a) hesabu zilizokaguliwa (b) mpango wa biashara, mpango au sera ya uwekezaji (c) mpango wa kurithisha utaalam...” hii ni sababu ya Air Tanzania kutofahamu madeni yake mengi ya nje.
Msajili wa hazina akaendelea kusema mbele ya Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu “ATCL haina wataalam wa kutosha katika masuala ya usafiri wa anga hususani marubani, wahandisi, wataalam wa uongozi na uendeshaji wa biashara ya usafiri wa anga na waongoza ndege”. Hii ni kampuni timamu kweli?
Msajili wa hazina akaendelea kusisitiza katika taarifa yake kwa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu; “imekuwa vigumu kwa ofisi ya msajili kufanya uchambuzi wa kina wa utendaji wa ATCL kutokana na kutokuwepo kwa taarifa za kutosha za kampuni” utendaji kazi wa ATCL haukaguliwi?
Msajili wa hazina akeleza mahesabu ya Air Tanzania yaliyokamilika ni mwaka 2014/15 . Mahesabu hayajatizamwa wala kupitishwa na bodi, hali ambayo imemsababishia Msajili wa Hazina kutoweza kuchambua na kubainisha hali halisi ya uwekezaji ilivyo sasa hususani madeni na mali za kampuni”
Serikali ya CCM wanaichukua biashara ya AVIATION kama kuendesha biashara za MABASI ya KATARAMA kwenda Mwanza au ZAKARIA Express kwenda Mwanza na Tarime, Kwamba jioni ikatoka Mwanza italeta mauzo umkabidhi mama Mary hapo dukani.. Shirika halina mpango kazi, linajiendesha vipi?
Hizi hasara za ATCL ni kwa sababu hizo za kitaalam kutoka kwa msajili wa hazina kwa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu. Lasivyo watueleze, wanapata faida lakini AIR TANZANIA wanatengeneza mazingira ya kukwepa kodi kwa kuficha hesabu ba taarifa ili ielezwe ‘inajiendesha kwa hasara’
Brigedia Mtikila, MMM.
@IAMartin_ PIGA penye mshono BRIGedia,MAANA NAONA TUneZODOLEWA.ETI HASARA ZITAENDELEA ADI TUSHIKE ADABU kwa tozo Na kodi.HIVI Yule ni MWENYEWE AU HADI SEMAJI ATUFAFANULIE KUWA ILIKUWA UTANI TUU..
Mimi ninachojua, tena kwa UHAKIKA ni kwamba; “KAMATI YA MAADILI” itabidi ISUBIRI hadi “TWENTY FORTY SEVEN (2047)”. Hakuna mtu anaweza KUZUIA hilo lisitokee.
@fbuyobe Watawatisha Na kuteka MADUANZI wasio WAJUA ukiyajulia maCcm hayakusumbui yakikukuta sehemu yanacheka tu Na KUONDOKA. Na yenyewe MAOGA kama MAFISI.
Upo sahihi. Nakuunga mkono hapa. Wewe na #MangeKimambi tofauti yenu ni vitanda tu. Ugonjwa unaogua na wodi mliyolazwa ni moja. Unatetea kufutwa kwa kifurushi cha #TotoAfyaKadi watoto wa kitanzania wakose huduma na waumie. Mange ana’post video za udaku kuwaumiza watu wengine
Tukikosoa miswada mibovu ya sheria huwa mko kimya hata hamtujibu. Hii barua inaonesha mko Bungeni kwa MASLAHI BINAFSI tu. Maslahi yenu yameguswa, mmetoka shimoni.
Halafu nani kuandika hii barua! Kama darasa la pili vile...