ALERT: Muda siyo mrefu Askofu Gwajima ataibuka, na ataibuka kwa style mpya. Atakuja kwa Kishindo. Watanzania mjiandae, Ataitingisha nchi. Gwajiboy ataibukia YouTube, na kuna mipango ya TCRA kuzuia YouTube. Kwa hiyo tujiandae kwa ujio mpya wa Gwajiboy.
MANGE KIMAMBI EXCLUSIVE: Najua wengi mlipata shock Ummy alivyotumbuliwa maana alikuwa bonge la shosti wa Samia.
.
Sasa ni hivi kilichomwondoa Ummy ni kwamba Ummy alirekodiwa akiongelea tabia za Samia na plans za CCm. Ummy alisema huyo maza ni mlevi kama walevi wengine na kwamba wao huko CCM wameshaamua hawafai for 2025 na kwamba hawatompa nomination. Ummy amedai huyo mama analewa sana na akishalewa ndo anakuwa na zile tabia (mnazijua) na ndo sababu CCM hawamtaki…
.
Baada ya kurekodiwa kimama kikatumiwa recording na ndo akamtumbua Ummy.
Yani ni hivi sio sisi tu wananchi hatumtaki, huko CCM pia hawamtaki ndo maana kila siku anabadilisha uongozi CCM.
.
Habari ingine niliyoletewa ni kwamba jeshi la Tanzania linataka kuchukua nchi 2025 then wapitishe katiba mpya then uchaguzi ufanyike na Samia habari hizi na anahaha kwahiyo anampango wa kumuweka mwanae Abdul au family member kama mkuu wa jeshi kama ilivyo Uganda… Hizi ni ndani zaidi. Na sababu ya jeshi kufikia hatua hii ni Sababu ya Samia kuwarudisha wauwaji na watekaji kwenye uongozi kama Bashite na mwenzie Sabaya na hiyo plan yake ya kubadili katiba ili aendelee kuongoza nchi…..
Tamaa ya kuishikilia nchi itam costi Samia.