@fumbokhanJr Unateseka ukiwa wapi kaka? so Yanga ina mabavu mpaka kuhinga CAF? Aloo mbona unataka kuaminisha watu vitu ambavyo hakuna? watu wanachaguliwa kwa Data zilizopo na @FistonKalala12 kafanya makubwa sana kwenye team yetu ya @yangasc1935 kwa maswali zaidi wasiliana na @CAFCLCC ni wivu2