@fatma_karume Dear @grok Fatma polepole shoukd not talk about injustice now because he was silent during Mafuguli regime. Help me educate her what kind of fallacy she is making by saying "Don't listen to him on justice — he was part of the system"
@fatma_karume Fatma, hivi Gwajima alikuwa anatafuta opportunity gani? Mbona umeamka enzi za Magu tu? Ulikuwa wapi wakati Ulimboka anang’olewa meno Magwepande? Kwa mama mbona mpo kimya? We don’t judge based on the past, or else everyone is guilty
@yoursTruly_blak@SalekwaJ Marko 10:21
Yesu akamtazama, akampenda, akamwambia, “Umepungukiwa na neno moja; enenda ukauze ulivyo navyo uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.” neno hili hapa shabani, lakini haimaanishi upende kuwa fukara. Tafuta hela. Hayo na kwa wateule pekee
@yoursTruly_blak@SalekwaJ Matendo ya Mitume 2:44-45
"Na wote waliomwamini walikuwa mahali pamoja, wakashirikiana vitu vyote walivyokuwa navyo. Wakauza mali zao na vitu vyao walivyo navyo, wakagawanyia watu wote kama kila mtu alivyohitaji"
@yoursTruly_blak@SalekwaJ Jibu ndiyo hilo, yeye kama yeye hana anachomiliki lakini kila kitu kipo katika ushirika na lengo kuu la ushirika ni kusaidia jamii kiroho na kiuchumi.
@yoursTruly_blak@SalekwaJ Kwamba hata ishi ikatifuta kujitajirisha bali maisha yake yote ataishi akiwa wasaidia wasiojiweza na kuwaombea. Hana mke wala hana watoto. Kutokuwa na familia kunamsaidia kujitoa bila kujibakiza. Ukiona katoliti wanaongoza kwenye huduma za kijamii ujue kuna waliojitoa.