@heisnabeel Nikiweka simu sikuoni jasho la masikio linachosha,then unakuta unafanya kitu kingine then umepigiwa ni Bora uweke loud simu ipo kweny meza shughuli zinaendelea.....
@shucom20@BrendaRupia Hatari sana mm nimesoma Russian culture pale itoshe kusema wanaharakati ni Hamnazo, warusi Wana project nyingi hapa tz ila wao Kila mda western countries sjui n watetezi wa democrasia
@N37231Grace@derc2323 Vijana sisi jau sana Kuna rika flan nipo advance chuga kuna washkaji walipanga kufanya mtungo kwa Dem flan hv skuli.....Yan Kuna rika nyege zinaweza kukupoteza kabisaaaa alaf ukikaa peke ako akili zinakurud kuwa ushaharibu na ulimwengu usha shuhudia kuwa umeharibu no excuse
@dondiego12245@derc2323 Ndo shida inapoanzia maana na huyo anaepeleka mwinzie uume nae ni kirusi hakifai Leo kafanya kwa Mwanaume mwenzie ila sku nyingine atafanya hata kwa watoto........
@kalage_jr@NjiwaFLow Na hii ndo inasabisha watu wamalizane wenyew kwa wenyew,coz niltaman nimuone huyo aleshikwa na zikapotea lakn ukiwaskiliza bado n nadharia tuu.....
@CadiSuvescalade@fbuyobe Hii issue ni kama ya Nabii Ibrahim tuuu....wasipokuelewa tumia mifano ya kijinga watakuelewa tuu mwishoni.....Yan elekeza watu kupitia ujinga wao
@AbdulAlly253493@BillyTronix1 Hawataki kuambiwa ukweli ukijarib kutoa maoni watakushambulia vibaya mno kwa kuwaona kuwa Kuna Miungu watu kweny betting.......Nina ushahidi Kuna Dogo mkewe yupo hospital anataka ajifungue,ile pesa ya maandaliz ye kabetia kaliwa,aisee alidata vibaya mno.....
@Telb_UTD@bonifacejoseph_ By the way Tafta kazi,fanya kazi kubeti sio ajira rasmi kijana....kubeti n mchezo wa kubashiri Kuna kupata au kukosa... kweny mathematics Kuna topic inaitwa probability kama uliielewa wala huwez bishana na mm
@Telb_UTD@bonifacejoseph_ Stake kubwa niliwahi weka milion 5 ikatoka 13M......... Kubeti sio kazi kubeti ni mchezo ukifanya kazi hauta fanya mambo yenye kipaumbele mwisho wa siku utakua mtu wa madeni au pesa unayoipata utafkiria kubet tuu......Vijana mkiambiwa mnakuaga wakali eti kubeti ni ajira
@Telb_UTD@bonifacejoseph_ Betting sio kazi ni mchezo wa kubashiri kama ni kazi weka pesa ya Mambo yako ya msingi then ndo utajua kuwa n mchezo tuu Soo n kuviziana
@afanderichadi@Uherry14@dullah_abuu Jibu swali acha matusi..mlisema mtaandaman non stop,mkaaminishwa na habil wakabl kuwa atawapa msaada kutoka Vatican na free internet,mkajaza form ICC vp Leo mbna kimya...itoshe kusema nyie ni MALOFA
@kingofccl@lwaitama1 Ni wazi niseme walikua wanahamasisha maandamano waliwauza wenzao....na wanajikuta wakipost et ndo wapo pamoja nao....iseme kusema hawa jamaa hawafai hata kidogo coz wao hawajitokez mda wote kweny keyboard tuu mara Kuna ICC mara Kuna kaka ake polepole mara Kn habil wa kabil...
@afanderichadi@Uherry14@dullah_abuu Akili si huna ndo mana nasemaga Yan nyie hamfai hata kuaminiwa coz akili zenu hazipo sawa.... why uruhusu akili yako iwe ya kupokea tuu hata uongo vitu vingine muwe mna ruhusu utumiaji wa akili zenu..... mbaya zaid umekuja kuprove kuwa akili zako hazikutoshi
@afanderichadi@Uherry14@dullah_abuu Leteni prove bhna Maneno yenu ya kujitungia mnaonekana hamnazo.....hata Oct 29 mliwaaminisha watu kuwa wanajeshi wapo nyuma yao watoke kwa wingi.....