@kalegamyeh@_sirsaline Imekaa gudy. Ukisikilza story za watu wa mambele kama USA unakuta mtu ni dokta ila lazma awe na financial advisor au mtu wa kodi. Kwa Africa n very rare kusikia mtu anaanzisha mradi wa kituo na anao hap watu. Yy anawza maximum profit tu.
@MichuziJr Ngap zilifeli. Mam mdg alienda hapo mzima akitembea mwenyewe alipoingia walimfnya Specimen alirud kweny jeneza. Na alkuwa anatakiwa aende India ila akaambiwa hapo ndo panafaa India No.