PSG Lost 3-0 To Real Mallorca
Arsenal Lost 3-1 To Real Betis
Arsenal Lost 3-2 To Dortmund
Chelsea Lost 2-1 To 10 Man Spurs
Chelsea Lost 1-0 To Juventus
Liverpool Lost 4-2 To Leeds United
Liverpool Lost 3-2 To Monaco
MANUTD Fans Want Me To Cry And Be Over reactionary Cos Of A Preseason Game That Might Not Impact Our Coming Season!
I’ll Point Out The Concerns For Sure But I Won’t Go Over Board With My Emotions!
ITS JUST A FUCKING PRESEASON CHILL OUT
"Ukitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa!"
Mimi ambaye sio mkamilifu katika imani nikibahatika kuongea na kubadilishana mawazo na ndugu zangu wa kiimani na katika kubadilishana mawazo huko nikawa mmoja kati ya wale waliozungumza mbele ya wengi, inakuwa sio kwamba nawafundisha jinsi ya kuwa karibu na Mungu sababu nimesimama mbele yao, bali nawapa ushahidi kuwa mbali na kuwa tunatofautiana katika uwezo wa kufuata neno la Mwenyezi Mungu, Wote tunampenda Mwenyezi Mungu na tunatamani tupate nguvu ya kutofanya lolote ambalo litamchukiza yeye kwasababu tunampenda kwa yote anavyotufanyia wepesi hapa duniani.
"Just because you lost me as a friend doesn't mean you gained me as an enemy. I'm bigger than that, I still wanna see you eat, just not at my table."
- Tupac
Kwa miaka 5 sasa naamka 4:30am, kusali, kujisomea (chochote kipya kwangu), mazoezi, meditation na kupangilia siku. Simu huwa naishika kwa mara ya kwanza 6:00am (sidhani kama nataka kuamka na kuanza kudili na notification yoyote, dunia itakusubiri kwenye hili tuu jiweke kwanza).
Mara ya mwisho umetumia nguvu kidogo kujijenga lini? All the best.