@YourFrenchFry Ila imani pia haileti mtoto wala haisadiii bila ya kuwa na hela
Hivyo vifaaa ni hela nyingi dawa na kila kitu hapo ni hela
Sayansi kama kitu hakiwezekani ni hakiwezekani
Na kama inafaaa itafaaa tu hizo za imani ni kujipa moyo bila ushahidi wowote
@atienomyname@MayengoDr Wanatoa hela mfukoni
Mnasahau mapokezi wanataka hela tuu ukisema daktari atoe huduma bure bila malipo mwisho ataishia kulala njaa na yeye
Hizi kesi ni za mfumo wala sio wafanyakazi
@Iam_Malunguja@MayengoDr@mananajr_ Unakua zahanati ya serikali kijijini huko wizara inataka ukusanye mapato na wanachi wanataka huduma bure kisa wamesikia kwenye redio
Unakua dillema ila watu wanakuja humu kulaumu wakidhani na sisi tuna roho za kina sabaya
@Iam_Malunguja@MayengoDr@mananajr_ Watu wanaamini madaktarj wana roho mbaya
Wanasahau iyo 7000 inakufukuzisha kazi na wewe ukawe omba omba mtaani
Wagonjwa wajitahidi kuwa waelewa na wafate utaratibu waache kulalamika bali watafute suluhisho
@Thommunkondya@FeliusFesto@SChinganga25062 Lakini matusi sio mpaka useme msenge
Viongozi wanatutukana sisi kwa kutukejeli kutuona hatuna cha kufanya hatuna uwezo wa kujitetea na mpaka wanatuuua
Ila wewe umeona raisa kutukanwa ndio muhimu sana kuliko hayo mengine
@Thommunkondya@bonifacejoseph_@1ngadu1 Ugali wetu wanagusa ndio mana tunachuki kodi kutumika kiholela si ndio ugali wetu huo? Matumizi mabaya ya madaraka si ndio yanafanya tushindwe kupata ajira huoni hilo? Chuki lazima tuwe nayo mana wanafanya makosa na nyie mnatetea ujinga kisa either mnapewa rushwa au mnaiba wote
@gratian_barbosa@P_simpleman95 Hapana zile data zina ukweli asilimia kubwa ukikaaa ctc na mtaani pia positive test za hiv huko njombe ni nyingi kuliko dsm
Ukifanya kazi sekta ya afya hiyo mikoa miwili huezi ata bisha
Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. @tanpol
Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA.
HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.๐ค