Aliyekuwa mgombea wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia), Jumatatu Novemba 03, 2025 akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuibuka mshindi wa urais kwa asilimia 97 katika Uchaguzi uliofanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemtangaza Dkt. Hussein Mwinyi (CCM), kuwa mshindi wa urais Zanzibar kwa kura 448,892 sawa na asilimia 74.8.
Dkt. Mwinyi ameshinda urais huku akifuatiwa na mgombea wa ACT Wazalendo, Othman Masoud aliyepata kura 139,399 sawa na asilimia 23.2
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila Jumatano tarehe 15 Octoba 2025 amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es salaam yenye gharama ya shilingi Bilioni 224.22 inayotekelezwa na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS). @tanroadshq
Idadi ya wapiga kura 7,845.
Waliohudhuria 7,456.
Wasiohudhuria 389.
Kura zilizopigwa 7,456.
Kura zilizoharibika 15.
Kura halali 7,441.
Kura za ndiyo 7,441
Kura za hapana 0.
Wastani wa wapiga kura waliojitokeza asilimia 95.04. Wastani wa ushindi asilimia 99.8.
https://t.co/6y6YLqT2TC Wakati tunaadhimisha siku ya kuzuia kuzama maji duniani leo 25 Julai 2025, tusikie visa vinavyowasibu wavuvi kiasi cha kuhatarisha maisha yao na kisha tukumbushane kuchukua tahadhari.