Vijana wengi tuna wasiwasi na pupa ya mafanikio kiasi ambacho sometimes inapelekea kupata msongo wa mawazo (depression). Kwa kujilinganisha na wengine.
Kama kwenye umri wako wa sasa ukiongeza miaka 10, mbele utakua hujazeeka punguza pupa, Focus, ndani ya Miaka 10 inatosha kujijenga iwe ki-project ama kimalengo, this is AFRICA.
Najua Umesikia Kuhusu Kampuni ya LBL??
Kabla hujaweka hata shilingi mia moja kwenye LBL, soma huu uzi mpaka mwisho!
Twende Nami Pamoja Uweze kuelewa Vizuri 👇
Zoezi la kuchukua form za kugombea nafazi mbalimbali linaendelea. Pia, wanachama wote wa UDOM Health Club wanatakiwa kujisajili kwenye daftari la wapiga kura kupitia hii link hapa
https://t.co/HXi7drKMxw
"Your Health Today is Your Life Tomorrow "
#UHCELECTION2024