🏠SAMPLE DESIGN ZIPO NYINGI SANA
Tufollow whatssp channel yetu kupata sample nyingi zaidi za nyumba bonyeza link👇👇
https://t.co/mpaYlZpwZK
Repost please 🙏
Nimesoma comment nyingi za watu nimeishia kusikitika kwa sababu watu wengi wanadhani wanajua Kumbe hawajui na Hawana Taarifa😀. Wengi wanaona Mh. Mpina hajui kitu au mshamba, ila Trust me, huo ndio ukweli!
Sasa naomba muda wako mfupi EXCLUSIVE knowledge ambayo inawezekana hujui,, hata kama una Masters ya IT.
ABOUT WHATSAPP
Don't trust WhatsApp anymore, ile "End to end encryption" isikudanganye—Ni lugha ya kibiashara!
Kwa muujibu wa mtandao wa Euro News, unaonesha kuwa mtandao wa WhatsApp unashirikiana METADATA na Mamlaka nyingi Duniani kwa ajili ya udhibiti wa mtandao.
Hii ni tofauti na mtandao wa Telegram ambao umefungiwa kwa nchi zaidi ya 10 duniani, zikiwepo; India, Russia, China America, Iran, Pakistan n.k. Na sababu kuu za nchi hizo kuufungia mtandao huo ni kutokana kutotoa ushirikiano wa kushea Metadata za watumiaji wake kwa kigezo cha kulinda taarifa za watumiaji wake. Na ndio maana kwa nchi hizo hutoboi bila VPN.
WhatsApp ni Moja ya mtandao unaopata TAARIFA nyingi sana Bure kwa SIRI kwa kuwapa watu comfortability ya "End to End Encryption" na kwa kuwa wengi hawafahamu na hivyo hunasa taarifa nyingi za watu. Na husaidia Serikali kuongeaza umakini ktk Intelijensia zao za kiusalama kwa kujua mienendo ya kiusalama katika nchi zao.
Mfano mzuri, nchini India February 2021, Serikali ilitangaza Sheria mpya ya udhibiti wa mitandao na ikaitaka kampuni ya Meta kushea Metadata ya Mtandao wa WhatsApp na Mamlaka za udhibiti wa mawasiliano nchini humo. Kwa mbinde sana na kwa msuguano mkubwa walifikia makubaliano ya kufanya hivyo. Stori nzima Iko kwenye mitandao ya https://t.co/jnAfS52tyl na https://t.co/xTIA0d3HSQ
ABOUT VPN
Pia, katika issue ya VPN usije ukadhani uko Private 100%. Hasa watumiaji wa zile Free apps—Hazina Usalama wa Taarifa!
VPN huendeshwa kwa gharama kubwa sana. Na ukiona wewe hulipii gharama, Ujue kwamba wewe ni BIDHAA YAO!
Kuna baadhi ya VPN ambazo zimeshtukiwa kwa uvujaji wa taarifa hizo mf; HOLA VPN, UFO VPN, FAST VPN, RABBIT VPN, SUPER VPN na nyingine nyingi. Hizo huuza taarifa za watumiaji wake kwa makampuni ya kibiashara na baadhi ya Serikali zenye udhibiti mkali wa kimawasiliano.
Hivyo epuka kabisa kutumia VPN za bure, ukiamini uko salama—Zitakucost!
Taarifa za undani kuhusiana na Elimu ya VPN, zipi ni salama, unaweza kuzipatana na kujifunza kupitia mitandao ya https://t.co/FamKNF7XIE na https://t.co/2HUvhw2bds ndimo nilimojifunza zaidi.
Dear sisters and brothers, Never trust hii mitandao, usije ukadhani uko salama, ukajiachia sana!
Pia nawashauri mpende kutafuta muda kusoma Privacy Policy za mitandao mnayotumia. Hata wakiupdate soma kile kilichokuwa updated ili uwe makini katika matumizi.
Tumia mitandao kwa usahihi na kwa uelewa mzuri, ili kujilinda na kuepuka changamoto zozote zinazoweza kuepukika.
TAARIFA NI UTAJIRI!
TAARIFA NI MAARIFA
TAARIFA NI USALAMA
Washa Rada Zako—Ushinde Bila Kunuka
@mafolebaraka Canva ni very powerful kwasasa kweli ila kuna vitu bado haijasolve. Ina canvas size limitation, lakini pia haikupi option ya kudesign in CMYK. Unaweza kudownload in CMYK ila sio kudesign. Ila ni very serious and powerful tool kwasasa
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewataka wakaguzi wa ndani wa taasisi za Umma kuzingatia weledi wa taaluma yao ili kuleta ukidhi wa sheria katika ununuzi wa umma.
Akizungumza wakati akifungua mafunzo ya matumizi ya mfumo wa NeST katika ukaguzi wa michakato ya Ununuzi wa Umma tarehe 10 Machi, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saint Gasper Jijini Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa PPRA Bw. Dennis Simba amesema kuwa wakaguzi wa ndani wamepewa jukumu nyeti sana la kuhakikisha michakato ya ununuzi inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni zilizowekwa na serikali pamoja na kuandaa ripoti sahihi zinazoonesha mapungufu na mapendekezo ili kufanya maboresho katika sekta ya ununuzi.
"Kila mkaguzi wa ndani akitekeleza jumukumu lake ipasavyo, uzingatiaji wa Sheria ya Ununuzi wa Umma utaongezeka na thamani ya fedha itapatikana katika ununuzi unaofanywa na Serikali yetu." Amesema Bw. Simba
Mwisho Bw. Simba ametoa wito kwa Wakaguzi wote nchini pamoja na Taasisi Nunuzi zote kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya awamu ya sita na PPRA kwa kuendelea kutumia mfumo wa NeST katika uendeshaji wa michakato yote ya ununuzi wa umma.
"Nitoe rai kwenu, kuutumia vizuri mfumo huu (NeST), kwani ni nyenzo muhimu kwenu na umerahisisha upatikanaji wa taarifa kwa ajili ya shughuli zenu za ukaguzi", amehitimisha.
Mafunzo hayo yaliyojumuisha zaidi ya washiriki 200 kutoka taasisi 91 zilizopo mkoani Dodoma yanatarajiwa kuendeshwa kwa muda wa siku 5 kuanzia Machi 10, 2025 na kufikia tamati tarehe 14 Machi 2025.
Ili kufanikiwa ukiwa bado kijana unahitaji kuelewa kiundani vitu vitatu…..
-PESA
-MUDA
-SPEED
nianze na kuzungumzia pesa kidogo, soma kwa makini hii ina nafasi kubwa sana kwenye safari yako ya kutafuta na kumiliki vilivyopo ndani ya hii dunia ⟶ ⟶👇👇