AIRTEL ROUTER 5G
(UNAPEWA ROUTER BURE KABSAA UKINUNUA VIFURUSHI HIVI..👇)
1. 110k kwa mwezi, speed 30Mbps
2. 150k kwa mwezi,speed 50Mbps
3. 200k kwa mwezi,speed 100Mbps
Inakuja na powerbank 5000mAh
Inaunganisha watu 65 ndani ya 100m
@lusomi24@kikomasta Mzee kitu kikishaitwa vita sio sahihi hata ukiweka sheria za kupet pet, mtu akiona unampiga huwez mwambia asitumie alichobaki nacho, vita zote sio sahihi ila zikishatokea athar zake huwez kucontrol hata uweke sheria maana mtu hawez kufata sheria zako na anaona anapigwa
@lusomi24@kikomasta Unapopigana na adui lengo ni kushinda na kuna interceptor ili upige target lazima urushe hata 500 so effect kwa wanakijijin ni uhakika israel anapiga tehran katikati just assume Dar hapo gorofa moja kariakoo likianguka linavyozika watu leo mji kama tehran unapigwa kila siku
@lusomi24@kikomasta Humu sijui hata kama watu wanajua ukubwa wa ardhi, ugumu wa geographia ya iran na ndio maana kila mtu anakuja na kelele , kwa nchi kama iran imezungukwa na safu za milima na chini ya hio milima ndio kuna silaha ingekua kunapituka kirahis marekan angeweka ground troops
@EliabuDanford@iHaiasm Wayahud wanaakili kubwa kwa hio kitendo cha kuwakaribisha utakuja kushtuka mifumo yote ya uchumi na kila kitu wameishika kwahio ni hatar sana wakiwa kwako , hitler aliwatoa kisa hilo hata idiamin dada wa uganda aliwafukuza kwa sababu hizi hizo marekan imeshikwa na wao tayar
@donminja47@ErnestKavol4 Watu mnavuta sigara yaan namba kamili ya jeshi la nchi husika uikute chatgpt😂😂 hamna nchi inatoa idadi halisi ya jeshi lake, we nchi ina watu 90M iwe na jeshi la watu laki 4 haya bana