U.S ISRAEL & IRAN WAR ππ»
Ukweli ulio wazi ni kuwa U.S ameingia kwenye mtego mkubwa sana kwenye hii vita ya IRAN sijaitaja ISRAEL kwa sababu wao hii ni yao na wanajua kwann wanapigana ni dhidi ya hatma yao pale middle East
U.S wamejaa kwenye mfumo, wanaenda kupoteza ule ππ»