‼️MUHIMU SANA‼️
Tafadhali unga mkono wito huu wa dharura wa kupitia upya, kumvua sifa, na kumuondoa Mohamed Chande katika jukumu lake la kitaalamu ndani ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, pamoja na kuanzisha uchunguzi huru nchini Tanzania.
Kwa mshikamano na watu wa Tanzania waliotayarisha mawasilisho haya, tunatoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu, mashirika ya kiraia, harakati mbalimbali, na kila anayejali ukweli, haki na uwajibikaji kusimama na kuongeza jina lake kwenye barua hii.
Tunakataa kukubali ukimya, upotoshaji na hali ya kutowajibika mbele ya mauaji ya halaiki. Hatuwezi kuruhusu walioko madarakani kubadili simulizi au kuondoka bila kuwajibishwa.
Haki haitolewi bure—hupiganiwa kwa pamoja na kwa uthabiti. Ongeza sauti yako, unga mkono barua hii, na uwe sehemu ya msukumo unaodai ukweli, uwajibikaji na matokeo halisi.
Pitia na Uunge Mkono Hapa: https://t.co/Yn4qOlpHz2…
Mwisho wa muda: Jumamosi, tarehe 2 Mei
Wapendwa kuna michango imetangazwa kwa ajili ya watanganyika wenzetu waliopata changamoto
👉🏽Kuna huyu mtoto anahitaji kupandikizwa mfupa - check video kwa @Rachel17D huko Instagram - michango iende kwa 0687690410 Samwel Lagwen
👉🏽 ndugu yetu Nicodemus Loyore alitekwa na kushikiliww na kuteswa amepoteza ajira yake na anatakiwa kusafiri kila mara kutoka Arusha hadi Dar kuripoti! Unaweza kumchangia kwa namba 0791262588 check post kwa Nuru Vazi huko Instagram
Tuendelee kusaidiana ktk nyakati hii ngumu! 💪🏽
Umoja ni nguvu 🔥
HII COMEBACK imepigwa USIKU WA MANANE bila shaka hawa ni Gen Z wa Diaspora😁
Bado masaa 24 Tukamilishe zoezi letu la "FUNGA MWAKA NA LISSU" Jambo hili ni kuonyesha mshikamano na BABA YETU huko Gerezani.
Tumezuiwa kuenda kumuona kwa zaidi ya siku 271, hatuna njia nyingine ya kufikisha salamu zetu zaidi ya hii. Tushambulie kwa miamala asije kujiona yupo pekeake.
Hii ikamtie moyo huko Gerezani kuwa VIJANA ANAOWAPAMBANI BADO WAPO NAE NA WANAVUKA NAE MWAKA KIBABE.
Salamu hizi ni Chukizo kwa WAKOLONI WEUSI, HAWAPENDI NA WANAUMIZWA SANA-TUTUMIE HII KAMA NJIA YA KUWAKERA KWA WINGI WETU WA MIAMALA.
KUNA SISI TULICHANGA JANA, LAKINI KWASABABU NI FUNGA MWAKA NA LISSU NA LEO NDIO SIKU YA KUFUNGA MWAKA TUNACHANGA NA LEO TENA MAMAE TUPO NJE YA MUDA WANANGU.
MWAGA MOTO KAMA MADRAGON, NAMBA ZA KUTUMA MCHANGO ZIPO KWENYE BANGO HAPO TUSHAMBULIE CHAP CHAP MAGEN Z🔥😆😆
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow
I heard Zuchu is In kilifi to perform to the Proud Community of Elites Educated Kenyan People in east Africa
All what we know Kenyans don’t need to be told what to do ,they already know
Kenyans Please do what is Supposed to be done and you already know what it is
Repost 780
Fortunatus Buyobe amekematwa na askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jioni hii. Hatujui wanampeleka wapi. Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake. Huu ushenzi haukubaliki. Free Fortunatus Buyobe Now!
Iko hivi👇
Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka.
Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka kuniteka nikiwa naendesh gari langu.
(Sijui walitumia muda gani kujua gari ninalotumia, Sijui walijua vipi makazi yangu)
Bahati nzuri sikuwa naendesha gari hilo. Walimfukuza dereva aliyekuwa na gari na akafanikiwa kuwapoteza kwenye vichochoro vya Kigamboni.
Baada ya kukosa gari. Watekaji wakajikosha kumtafuta mjumbe wa mtaa wangu. (Sijui walimjuaje kwani ilikuwa ni ndani ya muda mfupi sana tangu dereva kunipigia na mjumbe kunijuza kuwa kuna askari wanataka awalete nyumbani kwangu)
Askari walipofika kwangu hawakutaka kushuka. Wakiwa kwenye gari lililo tinted wakamwambia mjumbe ashuke aniulizie.
Binti yangu bila kujua kuwa baba yake yupo kwenye jaribio la kutekwa akamjuza mjumbe kuwa mimi nimeondoka tangu asubuhi which was true.
Taarifa hii ilinifanya kufika kituo kikuu cha polisi kuulizia kama ninatafutwa kwa shida yoyote ambapo nilijibiwa hakuna kesi yoyote dhidi yangu.
Nilitumia pia my insiders kujithibitishia hilo.
Sikuridhika.
Kwa uchunguzi wangu nikapata namba ya mmoja wa waliopaswa kuwa watekaji wangu.
Namba hapa chini, haimilikiwi na mtu binafsi.
Namba hii inamilikiwa na RCO Temeke
+255 774 175 485
Nilipiga namba hii na kuuliza kwa nini wananitafuta kihuni bila wito maalumu.
Wamenivizia kwenye gari. Wamefika kwangu kuniulizia na kuondoka bila kuacha wito kwangu au kwa mjumbe.
Hawakuwa na jibu na badala yake wakaniambia nina kesi Chang’ombe wanataka nifike.
Nikawajuza waniambie ni kesi gani? Inahusiana na nini? Nani mlalamikaji wangu? RB namba yangu ni ipi? Wakashindwa kunijibu.
Nikawajuza kuwa bila hizo taarifa sitaweza kufika.
Jana jioni, watu hao wamefika tena katika makazi yangu.
Bila kutoa search warrant wakaingia kupekua hadi ndani ya chumba changu wakiwa na mitutu ya bunduki wakanikosa.
My family is so so distressed.
Wanahisi Je, baba yao ni Jambazi?
Ninaomba nitoe wito kwa yeyote anayenitafuta afate taratibu za kisheria ATANIPATA
Namba hii nimeipeleka sehemu. Naamini nitapata HUDUMA
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
⛔️ Usihudhurie show zao.
⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.”
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
MKAKATI WA IDD AMIN MAMA NA WASHIRIKA WAKE KUELEKEA DISEMBA 9, 2025.
Tumejulishwa kwamba kuna mpango mbaya sana umepangwa na umeanza kutekelezwa dhidi ya wapigania Haki nchini hasa wale ambao wanaonekana wana mrengo wa CHADEMA ili waje kuwatia hatiani kwa makosa ya Uhaini na Ugaidi.
Mpango uko hivi zimeandaliwa namba za simu nyingi za kigeni kutoka nchi za Uganda, Congo, Zambia, Msumbiji, Burundi, Rwanda, Malawi na Kenya.
Hizi namba zitakuwa zinawapigia simu za kawaida au kuwatumia watu ujumbe mfupi kupitia Whatsapp au kupigwa moja kwa moja kupitia Whatsapp call ambapo watumiaji wa namba hizi Watajifanya ni Watanzania ambao wanaishi kwenye izo nchi na wengine ni raia wa izo nchi tajwa.
Wakishakupigia wanaomba uwasiliane nao kuhusu namna wanavyoweza kusaidia Katika maandamano ya Disemba 9, 2025.
Lengo lao ni kuweka Record nzuri ya mawasiliano kati yao na mtu/watu waliowapigia au kuchat nao ili baadaye mawasiliano hayo yaje kutumika kama ushahidi katika kesi zitakazofunguliwa baada ya Disemba 9 ambazo ni kesi za Ugaidi na Uhaini dhidi ya watu ambao watafanikiwa kuwaingiza mkenge.
Watu hao wanapowasiliana na wewe ujumbe wao ni huu.
1. Wanataka Ushirikiano kati yako na wao Kwenye maandamano ya Disemba 9, 2025.
2. Wanasema wanataka kufadhili fedha ili kutimiza lengo la maandamano kwamba watafadhili fedha zipitie kwako direct ili kuandaa maandamano hayo.
3. Wanauliza namna utakavyowasaidia kuingia nchini kushiriki maandamano kwamba utawasaidiaje ili waweze kuingia nchini kwa njia za panya yani njia zisizo rasmi.
4/ Watakutaka utoe orodha ya vitu au taasisi zinazotakiwa kufanyiwa uharibifu wakati wa maandamano.
Sasa ni muhimu sana kila mmoja wetu akachukua tahadhari maana kwenye vikao vyao wanadanganyana kwamba Watanzania wengi wananjaa so wao wanaamini wakitumia ushawishi wa pesa ni rahisi kuwanasa watu wengi.
Na watu ambao wako targeted sana kwenye mpango huu ni Wanachama na Viongozi wa CHADEMA ili mwisho wa siku CHADEMA ndo ije kubebeshwa msala wa kuhusishwa na vitendo vya Ugaidi na Uhaini maana baada ya maandamano ya Oktoba 29 walihangaika sana kujaribu kuihusisha CHADEMA na matukio yote yaliyotokea kwenye Maandamano ya Wananchi lakin walikosa ushaidi.
Nimeambiwa mpango huu tayari ushaanza kutekelezwa tangu siku ya Jumapili yani Novemba 23, 2025.
So kwa kuwa tumeshajua mipango yao mapema tuishi kitaalam kila mmoja achukue tahadhari, Hakikisha hauingii au kuingizwa kwenye huu mkenge.
Wakili Msomi Juan Carlos Gutiérrez.
Ni Rais wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Wanasheria Duniani.
Ni mshauri wa masuala ya haki za binadamu ktk Chama cha Wanasheria Madrid.
Amekuwa Jaji wa Mahakama ya Jinai Venezuela.
Ni Wakili wa ICC.
Ni Wakili wa Watanzania.
Kama wewe ni Mtanzania na umempigia kura huyu mzambia @theSavatir badala ya kumpigia kura dalali @YerickoNyerereT hakika wewe ni mzalendo wa kweli hebu chapa retweet ili ndugu yetu mzambia @theSavatir aone Love kubwa la wapiga wake wabongooo 🇹🇿
Kakaangu @LarryMadowo najua upo bize na ile documentary ya Mauaji ya kitisha yaliyofanyika Tanzania siku za GIZA.
Naomba matukio haya mawili ambayo yametoka jana na leo (Hospitali ya mwananyamala DSM na Mount Meru Arusha) yaingie kwenye Video yetu.
Usisahau sehemu muhimu ya Serikali Wamepinga video kuwa zimetengenezwa na AI japo tumeweza kuthibisha kuwa sio AI na AI imekataa kabisa kuhusika na kusisitiza video ni Halisi. Tunaomba mkanganyiko huu Uwe sehemu ya VIDEO hiyo.
Sikufundishi kazi ila hayo yataonyesha jinsi gani tulivyo na serikali KATILI sana kama watanzania.
Naomba nisaidie kumtag @LarryMadowo Barua hii FUPI imfikie.🙏🏿
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎