Taasisi zinazotumia U-yatima wa mtu kama kigezo Kikuu cha uwezo wa kipato inabidi ziwe makini au zitumie na vigezo vingine kwa pamoja. Kuna watu wana wazazi wote wawili Lakini hali zao za kipato ni mbaya zaidi. Kuna yatima wana wajomba na ma-Bro wenye kipato kikubwa
1990, 1991, 1992, 1993, 1994 ,1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003, 2004, 2005, 2006, 2007
Come out and Identify yourselves with your beautiful pic pls let u please❤. don't air me!!!!!!!!
@ridhiwankikwete@WMKVAU Hongera kwa hili mheshimiwa Mimi naomba kujua kama mlizingatia hali ya sasa ya kimaisha maana ilo ongezeko haliendani kabsa na ugumu uliopo kwenye mzunguko wa maisha
I have a fried yeye hatumii huu mtandao😂na babe wake namuonaga huku nikaenda kumwambia namuonaga shem kule nikaanza kumpa na umbea kwani si mnajua it’s normal as lady kuwa mbea guys🌝, kheee siku kaulizwa asinitaje🥹🥹sasahivi hata nikikutana na tweet za yule kaka naona aibu🤣😆