Kuna njia nyingi za kumshawishi mwanamke avutiwe na akubali kiwa na wewe,
Ila kama mpaka leo unatumia pesa ili mwanamke akupende
Jipige kufua mara tatu kisha rudia kusema;
"Mimi ni bwege, mimi ni bwege, mimi ni bwege"
mara tatu.
- Mwanaume unapotoka nyumbani unaenda kutafuta mkate wa familia ni kama kwenda vitani
- unaporudi hutakiwi kupigana vita na mtu mwingine badala yake unahitaji mtu wa kukupoza machungu ya mihangaiko ya kutwa nzima.
- kama hakupi amani unayoihitaji
- tafuta mwanamke mwengine.
First, use your 9-to-5 to start a side hustle.
Then, use your side hustle to generate passive income.
Finally, your passive income will lead you to financial independence.
Mambo 30 KUBADILISHA Maisha Yako Mwezi Mei 🫡
1- Mrudie Mungu 🙏
2- Kula kwa afya
3- Kunywa maji ya kutosha kila siku
4- Fanya mazoezi (angalau dakika 30)
5- Lala vizuri (6–8 hrs)
6- No soda & energy drinks
7- Acha kulilia mapenzi
8- No porn & punyeto
👇🏾
Kwenye kila unachofanya basi pambana kumiliki hivi vitu 3:
1. Muda
2. Pesa
3. Taarifa.
Ukiwa na uwezo wa kumiliki + kucontrol vitu vyote hivo. Wewe umeshafanikiwa.!!
You become what is in your mind not what you want to be
You're the average of the five people spend the most time with,
Your subconscious mind creates your reality
Tufollow kweny social media zetu ujifunze zaid
Instagram: Intelligence Fx 👇👇
@mlinganya Kama standards zangu zitaua mtu na afe
Virgin, submissive, respectful, Mwanamke mwenye shame na godly family values
Nje ya hapo bora nife single boy
Men sema HAPANA kwa Left overs.
Siku moja nilikutana na jamaa mmoja, tulikaa naye kwenye kijiwe kama kawaida. Hakuwa na talent ya ajabu, hakuwa genius sana wala hakuwa mtu wa kuonekana ana bahati sana.
Lakini kuna kitu kilikuwa kinamtofautisha na wengine...
Kila siku alikuwa anabadilika kidogo.
Sio kwa kelele. Sio kwa show off. Kimya kimya tu.
Asubuhi anaanza na kitu cha kujifunza. Akiwa anatembea masikioni kuna audiobook. Akiwa anasubiri foleni simu yake haipo Instagram ipo kwenye article au blog. Usiku kabla hajalala anaandika notes zake anajichambua.
Nilimuuliza siku moja:
“Bro, unafanyaje ukae consistent hivi?”
Akanitazama akacheka kidogo, akasema:
“Watu wanataka kuwa ‘professional’, lakini hawataki kuishi kama professionals.”
Hapo ndipo ilinipiga...
Watu wengi wanaangalia matokeo, wanataka kuwa bora, wanataka kuheshimiwa, wanataka pesa, wanataka level.
Lakini hawataki ile kazi ya chini ya pazia.
Hawataki ile life ya:
– Kusikiliza kitu cha maana badala ya kupoteza muda
– Kusoma hata kama hakuna mtu anawaona
– Kuandika na kufikiri kwa kina kuhusu maisha yao
– Kujifunza bila kuchoka
Ukweli ni huu:
Professionalism sio kipaji.
Ni mfumo wa maisha.
Ni vile unavyoishi kila siku, kuanzia unapoamka mpaka unapoenda kulala.
Kama siku zako hazina input, usitarajie maisha yako yatatoa output ya maana.
Huwezi kujaza ndoo ikiwa huna unachomwaga ndani.
Na watu wengi wanakosea hapa:
Wanataka mafanikio makubwa kwa juhudi ndogo.
Haiwezekani.
Kama unataka kubadilika kweli, anza na hili:
Usiruhusu siku ipite bila kujiongezea kitu kichwani.
Sio lazima iwe kubwa.
Hata:
– Dakika 20 za podcast
– Kurasa chache za kitabu
– Idea moja mpya uliyoiandika
Inatosha.
Kwa sababu ukifanya hivi kila siku?
Ndani ya miezi 6… hutakuwa yule yule.
Ndani ya mwaka 1… watu wataanza kuuliza umefanyaje.
Na ukweli ni huu:
Hutakuwa umefanya kitu kikubwa cha kushangaza.
Umefanya vitu vidogo kwa muendelezo wa kila siku…
lakini kwa consistency ambayo watu wengi hawana.
Hapo ndipo professionalism inaanzia.
Sio tukio la siku moja.
Ni tabia za kila siku.
- MWANAHISABATI Arthur Geil