@HenryKilewo@ChademaTZ2@ccm_tanzania Watanzania wa wapi? CHADEMA kufanya uchaguzi na kuweka uongozi mpya? Mungu ana makusudi yake, kama tu Demokrasia ya Chama hamheshimu nyie mngeshika nchi si ingekua balaa? Yaani Tundu Lissu aliyemwaga damu kwaajili ya Chadema leo mnaona hafai?
@Sativa255 Nakumbuka huo mwaka 2011 matokeo yalikua moto sana, na mimi nilikumbwa na kitu ya standize, serikali ilifuta matokeo na kuyarudisha tena, watu walijinyonga kipindi hiko