Suraatul Baqaar (2:154-157)
•Wala msiseme kwa wanaouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa; bali wao ni hai, lakini nyinyi hamtambui.”
•Na hakika tutakujaribuni kwa kitu katika hofu na njaa na upungufu wa mali na nafsi na mazao. Na wape habari njema wenye subira.”
•Ambao wanapopatwa na msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake Yeye tutarejea.”
•Hao ndio waliopata rehema na baraka kutoka kwa Mola wao, na hao ndio walioongoka.”
@godbless_lema@kevimremi Pambana na Chama lenu linakufa kwa kasi sana Achana na Mkit wetu hakuhusu sana Anakusaidia kupata Posho ya Ukimbizi kwa Urahisi