Mwaka 2012–2013 niliishauri Serikali kuwekeza dola milioni 2 tu kwenye Bitcoin. Kwa bei ya wastani ya $15/BTC, kiasi hicho kingewezesha kununua takriban 133,000 Bitcoin. Mnamo Oktoba 2025, Bitcoin ilifikia all‑time high ya $125,000/ kwa one BTC, ambayo ingelifanya thamani ya akiba hiyo kufikia takriban 41 trilioni TZS, mtaji wa awali ulikuwa shilingi bilioni 3 tu.
Tunapaswa kuwa na wachumi wenye hustler mentality, wanyenyekevu, wabunifu, na wanaoweza kutambua kwamba ideas za leo huzalishwa kutoka basement na mitaani.
Anyway, mteja wa dhahabu mmeshampata? Yaani 10% ya deal ya dhahabu ya 1.3 bilioni USD ni karibu USD milioni 130. Nawaza tu!! Pia, naweza hata kuwatafutia mteja mzuri. Pigeni deal na wapinzani mpunguze maneno😂 Niwatafutie mteja ? 😂 Niingie mtaani ??
Wakili Msomi Juan Carlos Gutiérrez.
Ni Rais wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Wanasheria Duniani.
Ni mshauri wa masuala ya haki za binadamu ktk Chama cha Wanasheria Madrid.
Amekuwa Jaji wa Mahakama ya Jinai Venezuela.
Ni Wakili wa ICC.
Ni Wakili wa Watanzania.
Imagine mtu anaenda kuwaua watu kwenye kibanda umiza kweli? Unawaambia walale unawashona risasi wote!
Kweli ndo taifa tunalotaka kujenga?
Mtu anakwambia uchaguzi umeisha sasa tujenge nchi, sijui tuombe amani, hivi huyo mtu anakuwa na akili au matope kwenye kichwa?