@SuluhuSamia Tunashukuru Mama Kwa upendo ulionao. Nawe tunakutakia kheri ya pasaka pia pole na majukumu ya kazi zako za kilasiku. Pia nakuombea kheri na mafanikio katika kutuongoza. Na Sisi tunakuahidi tutachapa kazi kwelikweli Kama unavyosema tuchape kazi tuijenge nchi yetu. 🙏🙏🙏Asante🙏🙏
INNA LILAH WAINALILAH RAJHUUN. 😭😭😭😭😭. Ni jambo ambalo hatutalizowea kabisa nipigo nipigo ALLAH TUJALIE amani upendo na mshikamano KTK Nchi yetu🙏🙏🙏🙏🙏 AMEEN
Mtume Muhammad ( Swallallahu Alayhi Wassalam ) amenukuliwa akizungumzia faida ya swala 5 kwa kusema;
“Hivi lau mmoja wenu mbele ya nyumba yake kuna mto na anaoga mara 5 kwa siku ndani ya mto huo, Je angebakiwa na uchafu wowote?!
Miongoni mwa faida za swala, Allah atuongoze.🙏🏼