@EsirEid@Sirjeff_D Mwambie awe mvumilivu. kesi ambazo hazina dhamana kama utakatishaji jamhuri wanazitumia kukomoa watu lakin hawawezi kuzithibitisha. Kamwe asikibali plea bargain kama anajua hajatenda kosa hilo. Mwambie jela sio mwisho binafsi nilikaa miaka miwili kasoro na nilikutwa Sina hatia.
Ripoti ya Tume ya Jaji Chande imeipa serikali 'clean bill' wakati maelfu ya raia waliuawa na kujeruhiwa. Haki haiwezi kutoka kwa wauaji wenyewe!
Uchunguzi huru na uwajibikaji vinahitajika otherwise hizi drama ni funika kombe tu Wala haziponyi majeraha ya taifa
@FamWorld2025 Mapastor wengi siku hizi wamegeuka kuwa motivation speakers badala ya kuhubiri neno la Mungu. Wamegundua watanzania wengi wanapenda kuambiwa maneno ya matumaini kuliko injili ya kweli.
@EsirEid Israel na Marekani inabidi zidhoofishwe to the maximum, vinginevyo hakuna nchi iliyosalama.
Nchi mbili zenye nguvu zinapigana na nchi Moja na zimeshindwa kumaliza nguvu yake huu ni uthibitisho kuwa vita ya Iran inabaraka za mwenyezi Mungu.
@kalage_jr Amani haiwezi kuwepo Kwa sabb Dunia yenyewe haina haki. Tulishaambiwa the "world is not fair". Ukitaka kuamini kwamba dunia haiko fair kuwa mwaminifu sana.
Duniani kote hususani Africa hakuna mwanasiasa anayependa kukosolewa au kuambiwa ukweli hasa kwenye mapungufu yake.
Wao hupenda kusifiwa na kupongezwa tu.
Tunahitaji katiba ambayo itatupa mamlaka wananchi ya kuwajibisha viongozi hata kabla ya muhura wao wa kuongoza kuisha.
Usikate tamaa! Kila changamoto ni fursa ya kukua. Umefika hapa kwa sababu kuna kitu kikubwa mbele yako. Endelea kusonga mbele, usikubali kushindwa! #Motivation#UsikateTamaa 💪
@Thommunkondya Una leta mzaha kwenye haki ya Mtu? Lissu kanyimwa chakula na kasema hadharani. Jaji kaagiza apewe Bado akanyimwa alafu we unasema sio maksudi?
Sio lazima uonekane umechangia wakati mwingine nyamaza tu.
@Advocate_Jebra@iHumphreyz Bila kupunguza mamlaka ya DPP kisheria kamwe kitu kinaitwa haki jinai hakiwezi kufanikiwa. DPP ana room kubwa kisheria ya kuonea yeyote anavyotaka yeye tu
@zittokabwe@mwigulunchemba1 Kisheria you might be right, lakini kiuhalisia wewe unaamini Kuna tofauti kati ya BOT na serikali? Do you believe kabisa kwamba Gavana wa BOT anauwezo wa kumgomea Rais hata kama Sheria inamruhusu?
@EsirEid Political hypocrisy on its peak!
Somo lingine kwetu, tujitahidi sana kutafuta pesa ili tuepukane na aibu kama hizo mtu mzima kujigalagaza chini ili kutetea ugali wako. Very shameful
Kama taifa *tunahitaji* mikakati ya kudumu ya kudumisha amani na utulivu wetu.
Hii habari ya curfew sio sustainable na ina athiri shughuli nyingi za uchumi.
Kukwepa tatizo la msingi na kupata utlivu wa muda ni kujidanganya.
Heshimuni ibara ya 8 ya katiba.
@bajabiri Madenge amesema "Freedom is not free".
Alafu alivuta almost 5B kutoka Ford.
Leo nimegundua kwamba Hii nchi how you position yourself ndio ina determine maingizo Yako.