Katika safari yangu ya siasa nimeona na kushuhudia mambo mengi, am a political sycolopidia. Jambo moja nina uhakika nalo ni kwamba hawa vijana wanatumika kama karai ya zege na hakuna mahali wanaenda. Hii michezo haiwezi kukutoa kimaisha. Nakuhakikishia! Nakupa miaka 3 kutoka leo.
Hakuna wa kuja kutuokoa
Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote!
Si Marekani, EU, nchi yoyote
Si UN, ICC ama shirika yoyote
You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma
Ndo ukweli mchungu
#TutaelewanaTu
Baada ya Uchaguzi wa ndani ya Chama chetu nilikuwa nafahamu kwamba Freeman Mbowe alikuwa na kinyongo na Mhe. Lissu ila sikuwahi kuwaza kwamba anaweza kuwa na kinyongo kiasi kwamba akafika hatua ya kushirikiana na Wauaji kumkandamiza Mhe. Lissu.
Unaambiwa wakati wa kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu Mbowe alikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa wanashinikiza sana Mhe. Lissu atiwe hatiani kwa makosa ya uhaini, yani hata hiyo miaka minne ambayo Mhe. Lissu kahukumiwa yeye anaona bado ni michache sana.
Halafu nakumbuka kipindi kile Mbowe alipotoka jela na kuibukia Ikulu kwa Nduli Idd Amin Mama ambae alimuweka jela miezi 8 kwa kesi ya mchongo ya Ugaidi , wakati watu wanahoji imekuaje kaibukia kwa mtu aliyemfunga? wengine tulikuwa tunamtetea kwa kusema Mbowe moyo wake hautunzi vinyongo, Anaroho safi kumbee bado tulikuwa hatumjui vizuri ila baada ya Mhe. Lissu kushinda Uenyekiti ndo tukajua rangi zake zote.🤧
Mpaka sasa Mbowe amefanya na anaendelea kufanya vikao na Nduli Idd Amin Mama pamoja na vibaraka wake kupanga njama za kuiangamiza CHADEMA, kamwambia Nduli Idd Amin Mama kwamba ili kuiua CHADEMA mazima ni lazima Viongozi wote wa juu wawekwe ndani ndo kazi ya kuteka Chama itakuwa rahisi kibaya zaidi bado yupo kwenye group la Kamati Kuu so unaambiwa Nduli anajua kila ambacho kinajadiliwa kwenye hilo group na anajua msimamo wa kila member wa hilo group.
Ndo maana Nduli Idd Amin Mama kwenye team yake ya Maridhiano, amemuweka Mbowe kwenye kundi la Wazee Wastaafu aliowabatiza jina la “Reference group” lengo ni aendelee kuwasaidia kufanikisha mipango yao kubadilika baadhi ya vifungu vya Katiba ili Nduli aendelee kubaki madarakani hadi 2035 bila kuwepo na kizizuizi chochote.
Mtoto wa miaka 13.
Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari.
Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu.
Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo.
Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha.
Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote..
Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka.
Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu.
Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema.
Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika.
Pole sana familia ya Angel.
Pumzika kwa Amani Malaika.
‼️Tetemeko la ardhi #Tanzania ‼️
Leo alfajiri kulikuwa na tetemeko la ardhi Kilimatinde huko Manyoni, Singida
Na inaonekana si moja yaani ndani ya mwezi tetemeko la ardhi 6! Makubwa!
Kuna kitu tunaambiwa! Sijaelewa bado ujumbe ni nini ila si ya kupuuza!
6 earthquakes in 30 days?!
Pumzika kwa Amani Binti.Uhai wako umekatishwa na watu wazima wasiyo na Utu.Nimesikia eti wanaendelea mbele na Maridhiano na wamesahau kuhusu UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI kama msingi wa Maridhiano
Tutaendelea kudai na kupigania Haki yako na wahanga wengine kwa mujibu wa sheria
Mwaka jana kutekwa kwa kakaangu MDUDE nilipitia stress kama miezi mitatu.
Huu mwaka kwa ndugu yangu TWAHA kunanitesa sana, sijui hii haki itaisha lini.
Kwamba wapigania HAKI WOTE huu ndio mwisho wetu daah..!
LEO MOYO WANGU UNAUMA SANA.
KATIBA YA CHADEMA IBADILISHWE
Mwenyekiti Mstaafu hakupaswa kuwa mjumbe wa milele wa vikao nyeti vya chama. CHADEMA tuliiga CCM na sasa tutajuta.
MFUMO TAWALA sasa ni rasmi wana mjumbe halali ndani ya vikao vyetu!
Kwa mujibu wa breaking news za BBC Idhaa ya Wanaharakati, Mwenyekiti Mstaafu ameteuliwa kwenye Tume ya Maridhiano, ambayo CHADEMA hawamo, na hawaitaki.
Sasa Mzee anakwenda kwenye vikao vyao akitoka akitaka anaingia kwenye vikao vyenu, anawasikiliza, halafu anarudi tena kule kuwatungia sheria.
Kulikuwa na haja gani ya kuiga ya CCM??
Haya ya kubakiza Wazee Wastaafu ndani ya mifumo si ndio yameleta the biggest and bloodiest national crisis since Maji Maji war ???