Na sio Kwamba wana kiwango cha juu, Wao ikifika siku tatu au nne za mwisho wa Mwezi (mwisho wa Bundle lako wanapunguza speed)
Nilipunguza hadi matumizi lakini bado walipunguza speed ilipofika siku za mwisho.
Na nadhani huu ndio mtandao mbovu linapokuja suala la Customer.
Airtel Tanzania wanakuambia
Unlimited internet unayopewa ikifika kiwango cha juu cha matumizi
Speed lazima ishuke
Nimewauliza
Kiwango cha juu cha matumizi ni GB ngapi, hawasemi
Na wana recomand
Kama unataka kuboost ulipe kiasi kidogo speed itarudi kama awali
Wakuu niambieni
Provider gani wa internet bongo hana hizi mambo
Akikupa unlimited iwe ni wewe na muda wako na si kupangiana matumizi.
Photo Dump Yanga Parade, Jana Nilipata bahati ya kuwa moja ya watu waliohudhuria this historic moment Makombe matano sio Mchezo. As a Photographer, i had to document it.