Thandi Chisi is the reigning Miss Malawi. But it’s her first runner-up, Ireen Navicha, who is representing Malawi at Miss World 2026.
But there’s more to the story than that. BBC's Chiamaka Enendu breaks down what happened and the disputed claims.
Aliyekuwa Ofisa Uhusiano Mkuu Daraja la II katika Kitengo cha Mawasiliano na Masoko cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Jackson Isdory Mushi (43) amefariki dunia katika ajali ya barabarani.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Mei 28, 2026 na Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye imesema ajali hiyo ilitokea jana Jumatano.
Profesa Anangisye amesema Mushi aliyezaliwa Mei 21, 1983 alikuwa mtumishi aliyejitolea, mwenye weledi na uzalendo wa hali ya juu katika kazi zake.
“Alichangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha taswira ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia mawasiliano ya kitaasisi, uhusiano na wadau, itifaki na masoko. Alihudumu kwa uaminifu, bidii na umahiri hadi umauti ulipomkuta,” amesema.
Amesema mipango ya mazishi inafanywa na familia kwa kushirikiana na UDSM, nyumbani Mbezi Makabe, barabara ya Goba, Dar es Salaam. Taarifa kamili kuhusu ratiba na itifaki ya heshima za mwisho zitaendelea kutolewa kupitia Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, UDSM.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Ukienda Dodoma ukamwuuliza mtu kama yupo Dodoma na akakujibu ametoka kidogo, lakini ukaenda mahali ukamwona amekaa akiendelea na shughuli zake, basi meza mate somo lieleweke kimya kimya na utulie kama mtu anayechemsha maziwa anategea lile povu. Kuwepo mahali haimaanishi mtu anapatikana ukimhitaji.
Kadhalika, ukiwa Dodoma ukaenda mahali ukamwona mtu mnayefahamiana na hamna miadi naye lakini ukataka umsalimie bila kuonekana umemvamia. Ikitokea umejitahidi sana nyuso zenu zikutane msalimiane ‘kwa bahati mbaya’ na ukaona macho hayakutani milele, huenda mtu huyo alitangulia kukuona lakini asingependa msalimiane. Utamsaidia sana ukiheshimu haki yake ya kuwa na faragha halafu endelea na shughuli zako kama vile hujamwona.
Almost 5,000 people waited for hours in the rain at a swabbing event in Worcester, to get tested to see if they were a match to help save the life of a five-year-old boy fighting a rare cancer, after his parents asked for help
Utadharauliwa na uliowaamini, utaangushwa na uliowabeba, yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwaajili yao.
Hii sio mitihani ya maisha, Bali ni MAISHA YENYEWE✊
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: https://t.co/wmldPXYfck
#TanzaniaYetuSote#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
Pressure (Hyper Tension) ni ugonjwa ASYMPTOMATIC (usio na dalili) so unakuta imepanda alafu vimishipa vya damu vile vidogo kabisa (kwenye ubongo, figo au macho) vinapasuka.. Kwisha habari yako
Na maisha haya ya stress, muhimu sana ukishafika 30+ uwe una habit ya kupima vital signs na regular check up pia.
Yaani Sukari na Pressure, vinaua figo, macho, na worst case ndio hiyo BRAIN ANEURYSM ambayo kutoboa is almost impossible.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea na kuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Vangimembe Lukuvi, katika mkazi yao Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 16 Aprili 2026. Wakati wa Msiba na Mazishi ya Kiongozi huyo, Makamu wa Rais alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya kikazi.